crabat
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 4,322
- 2,203
Ndugu yangu kikwete wanakupiga vita kwa vile ni muislam na hili jambo halivunji katiba ni sheria kama sheria za mila na zile za wahindu zinavo tambuliwa rasmi na katiba.
Lakin kwa vile linahusu waislam hawa jamaa wamesambaza chuki oungo futna na kila aina ya ubaya dhidi yako na waislam
Kama muislam nakukumbusha tu ujikumbushe yaliyomkuta mzee mwinyi hawa mapadre ni watu wabaya sana huwatia sana uongo na chuki waumini wao.
Ndugu yangu ukiondoka kesho kutwa marafiki zako na sahibu zako ni nduguzo waislam wala usijidanganye
Ulifanya makosa kuwatia ndani wale masheik wa znz na shk Ponda.
Toa amri watoke hawana kesi yoyote ni chuki tu za kidini.
Wale waunguja walipinga muungano . Kwao kuupinga muungano ni kuutetea uislam kwani kuendelea kwa muungano ni kuibatiza zanzibar hivyo kama wao wanasema kutunga sheria ya kusimamia masuala ya ndoa na watoto ni kuisilimisha tanzania basi nao wanasema muungano kazi yake kubwa ni kuibatiza znz.
Tenda haki uwatoe masheikh wale
Hakikisha znz wanachagua chama wanachotaka
Wenzako umewaona dini wameiweka mbele kuliko chama na wewe una madaraka una uwezo kuweka maslah ya dini yako.
Kui ondoa znz kutoka makucha ya kanisa ndio njia ya kuwa na tanganyika inayoheshimiana
Bora kuanza upya