MAHAKAMA YA KADHI: jamii ya watanzania tunahitaji ELIMU YA NGUVU kuhusiana na mahakama hiyo hivyo serikali iwape nafasi waislamu waelimishe jamii yetu ili watoe michngo yao kwa uelewa na siyo kutishana, wala kutukanana si vizuri la hasha!!!!!!!!!!!!!!!! watu wengi wanaonekana wanjadili lakini wanonekana hawaelewi wanachomaanisha mwisho wanishia kutusi uislamu na waislamu kwa ujumla. mimi naona hilo ni jambo la msingi lipewe nafasi wwote ni wabongo!!!!!!!!!!!!!!1
hadi nchi iwe 100% islamic laws za kukata mkono kuna vigezo.. mfano 97-99 % ya wananchi awe waislam ... kuna baadhi ya sheria kama za ndoa na mirathi kwetu sisi ni lazima zifatwe...
wewe kama nani hutaki wakati wenyewe twataka...
kuhusu serikali kujivua gamba.. mi nawapongeza .. sasa atlist maaskofu wataacha kuongea maana kilio chao kilikuwa zitatumika kodi zao.. since waislam tumeachiwa hili jambo mikononi mwetu na tumeruhusiwa then watatokea tu matajiri wa kiislam ndani & nje ya tanzania na kudhamini hii mahakama hatushindwi na kwa uwezo wa mola zitaanzishwa...
kuanzia Adamu mpaka Muddy hakuna hata Mtume mmoja aliyezaliwa akijua kusoma na kuandika(kabla ya kuwa mtume) ila baadaye ndio hufundishwa. Au kama yupo tuambie.Hii dini ina matatizo kama aliyokuwa nayo Mtume Muddy........Manake alikuwa hajui kusoma wala kuandika.
Kama wewe na huu utafiti wako unavyoiharibia CDM, kwanza mimi rais hata akiwa Mkiristo au Muislam, kwangu mimi sawa hakuna cha maana, nadhani wewe mpaka povu linakutoka unapenda rais atoke kwenye dini yako sijui itakusaidia nini, jibu kaanalo tu moyoni mkuu
Mahakama ya kadhi haiwezi kuwa chini ya serikali alah wao anaroho mbaya sana ,atakata mikono watu!kwanza hata wakipewa kutakuwa hamna wateja utaskia hukumu mtu anachapwa viboko 80 pale posta!
Kama mawazo ya waislamu ndiyo haya mtaendelea kuwa watumwa wa kina Gaddafi milele.
Pro-CDM-JF utawatambua tu kwa maneno yao
MAOMBI YANGU MAHAKAMA YA KADHI WAPEWE hata mm ntachangia ili niskie vioja vya Hukumu zitakazo tolewa ,wanawake hakuna kwenda uwanjani,hakuna muislam kuangalia vyombo vya habari vya mangaribi,waislam watazame tv za afghanstan,somalina libya...,ukizini ni viboko 80 kama si posta ni ubungo stand,mtoto mdogo wa kike miaka 8 ni halal kuolewa,waislam hakuna kuajiri wakristo makafir ni dhambi kwa allah wao,kujilipua ni mojawapo ya order za mahakama kama muislam amedhulumiwa, i love muhammadans wana utaratibu mzuri kweli wa maisha !
Wakubwa ` mimi ni mgeni ktk uwanja huu lakini ninachokiona kuhusina na mada hii ni kwamba Inahitajika kwanza wanachi waelimishwe nini maana ya kadhi na kwa nini inahitajika na kwanini ipo na inaoperate vipi kwenye nchi zenye watu wengi wasio waislam km vile AMERICA, uingereza, uganda, kenya je serikali hizo zina mchango gani katika mahakama hizo kinachoonekana hapa kwetu ni watu kujadili kitu ambacho hawaelewi bali wanajadili kwa kuogopeshwa, na kuwafanya kujadili kwa kutusi dini na watu wake nadhani haipendezi la hasha serikali inawajibu kuwapa waisalamu nafasi kuelimisha umma ili uelewe.
generally saying moslems in tanzania have a lot of grivencies because they think they have been marginalised in varius sector of this country...mi nafikiri kama kweli sisi ni wazalendo wa kweli na kama kweli tunataka kuweka taifa kwanza ,basi waislam na wakristo ni watoto halali wa mama tanzania na wote wana haki sawa kupata urithi sawa wa nchi hii..kama kuna makosa ya kihistori a yalifanyika basi its time to rectify..otherwise tanzania haitakua tanzania tunayoitaka kama tu kundii kubwa katika jamii yetu linajihisi limetengwa (att.am not a muslim)