Eti ule muswaada wa 20011 wa Uongozi wa mahakama vipi, unaompatia Mkuu wa mkoa uwenyekiti katika tume ndogo ya nidhamu, haileti ka mockery kidogo kwa mahakimu, haileti ka judicial interference. Au kako bomba?

Wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya tayari walikuwa na uwezo kwa kupitia mlango wa uani wa kuwaelekeza mahakimu wafanyeje/waamueje masuala mengi yanayoelekea kuirarua serikali na chama tawala magamba.
Kutungwa kwa sheria hiyo ilikuwa ni kujaribu kuhalalisha nguvu ya wanasiasa kwa wanataaluma.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.