Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 18,300
- 33,919
NI kibaraka wa nani?Hongereni mahakimu kwa kuwa wazalendo
Endeleeni na moyo huo huo wakutomchekea huyo kibaraka Seif
NI kibaraka wa nani?Hongereni mahakimu kwa kuwa wazalendo
Endeleeni na moyo huo huo wakutomchekea huyo kibaraka Seif
Wa wasio penda muunganoNI kibaraka wa nani?
Katiba yao inasemaje??Hv kweli mahakimu na majaji hawaoni kabsa lipumba anataka kuivuruga cuf,, hv hata hao wanaomuunga mkono lipumba kweli uwezo wao wa kufikiri umeishia hapo hawaoni kabsa lipumba anafanya kaz ya ccm,
Unamwita Seif kibaraka kwa sababu Magufuli anataka kuwa mfalme wa milele Magufuli na CCM ni vibarka wa matumbo yao na mahakama inacheza ngoma yao tungojeee matokeo ya hii dhambi kama wenye mioyo ya miplasticki wanaweza kimbia nchiHongereni mahakimu kwa kuwa wazalendo
Endeleeni na moyo huo huo wakutomchekea huyo kibaraka Seif
Kila kitu kiko "well Organized". Kuna watu wanahoji kama Mahakama iko huru ama haiko huru. Marekani kila Jaji hujulikana msimamo wake kiasi kwamba kesi ikiwa kwa Jaji fulani maamuzi yake yanajulikana hata kabla hayajatolewa.hii coordination km Brazil team mpira ukitoka point lazm ufike point c.
da sasa watu wataelewa kwann wapalestina hujilipuaga?
Wanaopenda Muungano ni vibaraka wa nani?Wa wasio penda muungano
Watu wengi hawajui hapo ndipo maalim alipokosea na mwenzie atakuwa alipata ushauri wa kisheria kuwa bado ana power ndio maana akarudi. Ingekuwa rahisi namna hiyo kisheria kumtoa lipumba kina Tundu Lissu wangekuwa wameenda mahakamani siku nyingiHata mimi nisiyekuwa mwanasheria nilijua Maalim na kundi lake wangepigwa. Lipumba na wenzie walishamzidi kimkakati mapema sana. Maalim alikosea jambo moja tu, kuchelewa kuridhia kujiuzulu kwa Lipumba. Kuna methali ya kiingereza "strike the iron when it is hot". Maalim alichelewa.
Hata kwenye boxing sisi wadau wa mchezo huo tunajua. Ukimpa mpinzani wako upper cut moja akapepesuka, usimsubiri aka-recover. Anaweza akaibuka akakutoa. Ukishaona amepepesuka unaongeza za mfululizo hapohapo hadi knock-out. Lipumba alipojiuzulu, wangejaza nafasi immediately kwa utaratibu rasmi wa kikatiba. Walikosea hapo, sasa wanapata malipo yake.
maalim anatumika kuikata nguvu CUFDah so sad kwa upande wa Cuf ya Maalim.
maslahi + NJAAHv kweli mahakimu na majaji hawaoni kabsa lipumba anataka kuivuruga cuf,, hv hata hao wanaomuunga mkono lipumba kweli uwezo wao wa kufikiri umeishia hapo hawaoni kabsa lipumba anafanya kaz ya ccm,