Mahakama Kuu yatupilia mbali pingamizi la CUF (upande wa Maalim Seif) kuhusu ruzuku

Kazi mnayo miaka hii

Mimi ningakuwa Self ,Lowassa na wazee wengine ningetulia nikaachana na siasa ndio mwanzo wa kuheshimiwa....

Hivi amjiulizi kwa nini marehemu Nyerere na Rais mstaafu Mwinyi wanaheshimika sana......


Au Dr Slaa kwa nini anaeshimiwa sana na watanzania makini.....
 
Dah,leo nimeuona msafara wa profesa wetu ukiwa kwenye magari na wanachama wachache kweli,Ila cuf ndo imeshapotea tena
 
hii coordination km Brazil team mpira ukitoka point lazm ufike point c.

da sasa watu wataelewa kwann wapalestina hujilipuaga?
Kila kitu kiko "well Organized". Kuna watu wanahoji kama Mahakama iko huru ama haiko huru. Marekani kila Jaji hujulikana msimamo wake kiasi kwamba kesi ikiwa kwa Jaji fulani maamuzi yake yanajulikana hata kabla hayajatolewa.

Tatizo Mahakimu wetu na Majaji hawaweki wazi misimamo yao hadi maamuzi yakitolewa huwashangaza watu. Kwa mfano kama jaji ana msimamo kwamba dola huwa "halichezewi" kesi dhidi ya serikali itashindwa tu, lakini kama Hakimu ama Jaji anaamini dola imejengwa juu ya misingi ya uonezi, basi kila kesi dhidi ya serikali uwezekano wa serikali kushindwa ni mkubwa sana.

Sasa kwa masuala ya vyama vya siasa Tanzania Jee Majaji wetu wana mitizamo gani kuhusu vyama vya siasa hasa vya upinzani? Kama Jaji anaamini hakuna chama bora kuliko CCM maamuzi yake yatakuwa dhidi ya wapinzani na kama anaamini wapinzani ni muhimu kwenye kujenga demokrasia imara, basi kwenye kila maamuzi wapinzani watapata ushindi ama huruma ya maamuzi yake.

Leo ni tamu (Keshi ya Lwakatare kufutwa) na shubiri (CUF- Seif kushindwa) kwa wakati mmoja.
 
Hata mimi nisiyekuwa mwanasheria nilijua Maalim na kundi lake wangepigwa. Lipumba na wenzie walishamzidi kimkakati mapema sana. Maalim alikosea jambo moja tu, kuchelewa kuridhia kujiuzulu kwa Lipumba. Kuna methali ya kiingereza "strike the iron when it is hot". Maalim alichelewa.
Hata kwenye boxing sisi wadau wa mchezo huo tunajua. Ukimpa mpinzani wako upper cut moja akapepesuka, usimsubiri aka-recover. Anaweza akaibuka akakutoa. Ukishaona amepepesuka unaongeza za mfululizo hapohapo hadi knock-out. Lipumba alipojiuzulu, wangejaza nafasi immediately kwa utaratibu rasmi wa kikatiba. Walikosea hapo, sasa wanapata malipo yake.
Watu wengi hawajui hapo ndipo maalim alipokosea na mwenzie atakuwa alipata ushauri wa kisheria kuwa bado ana power ndio maana akarudi. Ingekuwa rahisi namna hiyo kisheria kumtoa lipumba kina Tundu Lissu wangekuwa wameenda mahakamani siku nyingi
 
Back
Top Bottom