Mahakama Kuu yamtaka Spika wa Bunge Job Ndugai kufika Mahakamani leo

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Mahakama Kuu imetoa wito kwa Spika wa bunge Ndugu Job Ndugai kufika mahakamani leo kwenye kesi ya kikatiba kuhusu kinga ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kesi hiyo itakapotajwa kwa mara ya kwanza.

Kesi hiyo ya Kikatiba namba 01/2019 imefunguliwa Mahakama Kuu, Masjala Kuu na mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe dhidi ya Spika wa Bunge, Job Ndugai.
 
Spika ana kinga hawezi kuitwa na muhimili mwingine ili kuhojiwa labda kwa mashauriano!
 
Mahakama Kuu imetoa wito kwa Spika wa bunge Ndugu Job Ndugai kufika mahakamani leo kwenye kesi ya kikatiba kuhusu kinga ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kesi hiyo itakapotajwa kwa mara ya kwanza.

Kesi hiyo ya Kikatiba namba 01/2019 imefunguliwa Mahakama Kuu, Masjala Kuu na mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe dhidi ya Spika wa Bunge, Job Ndugai.
akigoma kwenda naye aburutwe na pingu za mikono na miguuni
 
Back
Top Bottom