Mahakama kuishitaki Serikali ifikapo June mwaka huu

Pinokyo Jujuman

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
552
104
Mahakama kuu ya Afrika Kusini imesema itaishitaki Serikali ifikapo mwishoni mwa mwezi wa sita endapo haitatimiza majukumu yake katika nyanja ya Elimu ikiwa ni kusambaza vitabu vya kufundishia mashuleni.
Mahakama hiyo imesema kwamba kwa kuto kuvisambaza mashuleni vitabu vya 'Kiada' na 'Ziada' ni kukiuka haki ya msingi ya wanafunzi; hivyo ni uvunjaji wa Katiba ya nchi hiyo"

My take: Uamuzi huu wa Mahakama ni mzuri sana; ikiwa hivi hata kwa mahakama zetu basi kwa hakika Elimu yetu ingekua na ubora sana
 
Utasubiri hapa Tz mpaka mwisho, ila wapi. Ah ngoja niendelee kusoma zingine.
 
Pinokyo, mwanangu
Like toka kwa daddy, hapa Bongo tutahitaji kupeleka mahakamani Wizara zote pamoja na Ikulu yake.
Hapa kuna kivumbi Rushwa toka unyayo hadi utosini. Wizi na ubadhirifu wa mali ya Umma hausemeki
Mikataba mibovu na wawekezaji wa nje au manunuzi ya nje nayo yote inakula kwetu.
Kwa kifupi hakuna chema cha Kujivunia!!
 
What?Mahakama Joti za Tanzania?That is unthinkable.

Back
Top Bottom