Mahakama kuingia likizo tarehe 15 Disemba 2018 hadi tarehe 31 Januari 2019

Mahakama Sio Jengo Mahakama Ni Watu Wakiwemo Watumishi Wote Wa Mahakama, So Majaji Wa Mahakama Ya Rufaa, Mahakama Kuu, Mahakimu Wanaenda Likizo Ya Kimahakama
Mahakama kwenda likizo? Wanasheria na watetezi wa haki za binaadamu hii inakubalika?
 
Ebu Taja na Kifungu Husika Tuone
 
 
Hivi kwa nini hii vacation ni kwa mahakama tu, idara nyingine za serikali hawahitaji mapumziko ya pamoja?
 
Oh yes kila kitu kina mwisho... kwa mfano mgao wa umeme.
 
Kwani alitumwa aende kunywa juisi dubai na kupiga Selfie?
We acha tu ! Yaani mtu a jump bail tena ni kiongozi halafu ategemee mahakama icheke nae !! Worse still iache ratiba zake za likizo kisa ? He should have known the consequencies of his actions.
 
Duh sijawahi kusikia "justice serving" ikienda likizo


Kama ni uhaba wa watendaji mbona vijana tupo hatuna ajira mitaani huku.
Utaambiwa huna experience; pata experience kwanza (sijui uipatie) uje. Anyway wataalamu watatwambia maana yawezekana likizo hiyo ya siku 45 iko kisheria!
 
Kuna siku tutasikia Hospital nazo zinaenda likizo.Hii Kali,yaani ni upinzani tu unawatesa hivyo.Basi hakuna kitu aisee hatuna kitu for next 7 years.Yajayo yanafurahisha
Kwa kuwa Mbowe yuko mahabusu inabidi ratiba za mahakama zibadilishwe kwa ajili yake, du! Kama una mapenzi naye hivyo ukamshauri asiruke dhamana tena.
 
Nashauri polisi nao waende likizo maana wakiendelea kukamata watu na mahakama iko likizo itakua hawatendi haki!
 
Hatimae kwa Mara ya kwanza, mahakama ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imeenda likizo mwezi mzima kwenda kula sikukukuu, kunywa mvinyo, kula batabatani kisha itarejea na mahengover
 
Nimeshiba kwa mama ntilie sahani ya buku jero..! ngoja nami nijiunge hapa kuilaumu serikali....! Usicheze na wafipa...tuna lawama!!
 
Mahakama kwenda likizo
Ipo hivo kila
Mwaka na mwanzo mwaka mpya wa mahakama huanza siku ya kilele cha law day. Wanafanya kazi ngumu sana kusikiliza na kuamua mashauri sio jambo dogo kichwa kinauma
Sana tu
Lakin haimaanishi mahakama zinafungwa zipo wapi na badhi ya majaji na mahakimu watakuepo kusikiliza mashauri yake ya dhararu nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…