OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
Hivi kama anakuwa ni ndugu yako na alifika akiwa salama jioni mmpeleka chakula asubuhi unaambiwa kafa, mwili mnaukuta na majeraha!!!!!
Isijekuwa matukio ya vituo kuvamiwa na askari kuuwawa ni visasi vinavyochukuliwa kama uvamizi!!!!
Isijekuwa matukio ya vituo kuvamiwa na askari kuuwawa ni visasi vinavyochukuliwa kama uvamizi!!!!