Mahaba yangu na house girl...

Mahaba yangu na house girl...

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,213
Reaction score
18,455
Japokuwa watu wengi uwadharau na kuwaweka daraja la chini sana dada zetu wa nyumbani,kwa kuwaona wachafu,washamba na watu wasio na thamani, kwangu mimi ni tofauti sana,kwani tangu nianze kujihusisha na mapenzi na wadada wa kazi nimekuwa niki enjoy sana tofauti na hawa masista duu,nikiri nimeshiriki mapenzi na wadada wengi kidogo,na kitu ambacho kimenivutia au kuni hamasisha kuwapenda ni hulka yao,wadada wengi ni wakarimu,wanajua kunyenyekea kitu ambacho napenda sana mwanamke awe nacho,afu hawanaga dharau,pengine hawana gharama sana(hii sina uhakika sana),wanajua kujituma.kila siku om nimekuwa niligombana na mama au dada zangu nikiwakuta wanawagombeza dada wa kazi mda mwingine uwa najifungia chumbani nalia mwenyewe,kwa kweli naumia sana mtu akiwanyanyasa hawa watu,hii ni kwa upande wangu kutokana na experience niliyopitia,inawezekana unaowajua wewe wasiwe na sifa kama zangu ila ndo ivo kwa mimi,house girls wanajua ku care pengine kuliko hata wamama wenye nyumba na ndio maana wanaume wengi hujihusisha na mapenzi na wadada hao though inaweza kuwa tamaa but wanaume tunapenda mwanamke atujali na kututunza kama watoto,utakuta mama anamwachia dada kazi zote hadi nguo za ndani za mume wake sasa apo usipinduliwe mchezo??,mimi nawapenda sana wadada wa kazi,sitaona tatizo kuja kuoa mmoja wao,maana dada zetu hawa wa samsung galaxy wana dharau,kujiona wapo juu na kila aina ya ivo vitu,so nawakubali sana dada wa nyumbani
 
wanaume wengine jamani majangaaa....mngetozwa hata kodi mshindwe kuishi mtoweke wenyewe
mwanaume unakosa busara?
 
Na umeandika haya kwa sababu house girls hawapaswi kupendwa...
 
sifa nyingine ya mahouse girl ni kwamba K zao zinanukia harufu ile original,tofauti na wanaojiita wasafi K zao zimeharibiwa na kitu kinaitwa marashi zinatoa harufu za ajabu ajabu utadhani uko kuzimu banana,ptuuuuuu!!!!!!!!!!pambafff sans.
 
Wewe una matatizo, unapenda kuwadominate watu ili ujihakikishie 'ukuu' wako ndio maana unakuwa attracted na watu wanyonge ambao wanakuona wewe as kumungu kadogo.
Usipojiangalia, utahamia kwa minors na vikongwe. Nenda kapate maombi ili uwe man enough kupambana na changamoto za maduu.
 
Kutokumpenda mtu / kukataa asiwe mwenza sababu tu ni house girl nadhani ni kumkosea haki..

Kumchezea mtu / kumuhadaa sababu tu ni inferior kwako kwa hali moja au nyingine ni kutokumtendea haki.., lakini kama lengo lako ni kumfanya mwenza hakuna shida and all the best, ila sio kwamba ukishampiga mimba unamfukuza wakati wewe ndio ulikuwa mwenye makosa
 
Na wanake wanapenda kudekezwa kama watoto kama hujui, yani wewe una meno thelahini na mbili tumekutana wote tumeshakomaa na meno yetu leo eti useme mnadu na mabeck tatu wanajua kucare,we lofa kweli,mnawatomgoza kwa vile mnawafanya mpendavyo geuka lete ------ yani mnawatumia vibaya na wao na ushamba na uoga wanakubali we kweli huna akili unadumaa bure kwa uvivu wa kuchagua iloooooo
 
We akili huna na wewe fc libolo yako inanukia harufu gani unajisikia lakini au unajiona unayoyandika humu kweli kujadili kuhusu mapenzi ndo hivi we wawapi usikute unanuka na unatoa ukoko usipende kuponda wanawake mwehu wewe.
 
...kila siku om nimekuwa niligombana na mama au dada zangu nikiwakuta wanawagombeza dada wa kazi mda mwingine uwa najifungia chumbani nalia mwenyewe,kwa kweli naumia sana mtu akiwanyanyasa hawa watu...

... house girls wanajua ku care pengine kuliko hata wamama wenye nyumba na ndio maana wanaume wengi hujihusisha na mapenzi na wadada hao though inaweza kuwa tamaa but wanaume tunapenda mwanamke atujali na kututunza kama watoto...

Bado unakaa na mama, baba na dada zako halafu unatuambia uzoefu wa kutofautisha hausi girl na mke!

Ukija kuoa hausi geri akawa mke mkaajiri hausigeri naye utamuoa na kumwacha mke wa kwanza, mkiajiri hausi geri mwingine utamuoa na kumwacha mke aliyekuwa hausi geri, trendi itaendelea mpaka utakapokufa.
 
Sasa hapo mtoe kwenye uhause girl muoe utakutana na yake yake ya blackberry!! Chezea dem akikamata mpini wewe!
 
We akili huna na wewe fc libolo yako inanukia harufu gani unajisikia lakini au unajiona unayoyandika humu kweli kujadili kuhusu mapenzi ndo hivi we wawapi usikute unanuka na unatoa ukoko usipende kuponda wanawake mwehu wewe.

muhahahaha lol simba wakikusikia?
 
Kama wewe ni mtu mzima (kiumri) hapa ndo nitaamini age is nothing,its just a number like any other number...otherwise...ukikua utaacha tu!
 
Wewe una matatizo, unapenda kuwadominate watu ili ujihakikishie 'ukuu' wako ndio maana unakuwa attracted na watu wanyonge ambao wanakuona wewe as kumungu kadogo.
Usipojiangalia, utahamia kwa minors na vikongwe. Nenda kapate maombi ili uwe man enough kupambana na changamoto za maduu.

Mmh inawezekana eeh??,ila sidhani I had an affair with classic chicks and beautiful gals and wao wenyew ndo uwa wana ni aproach but uwa hawatulii na boy mmoja yaan hawarodhik wana tamaa sana,wanawake wazuri wanasumbua sana yaani nimelia nao sana nimeambulia kuumia tu,ukiwa na gals mzur kila mt atamtak so sipendag sana ku share mapenz afu mbay zaid openly bora mtu afiche bas,unakuta una dem wako ila kitaa washkaj wote wamepiga
 
Kujisifia upuuzi tu

Sent from BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Kama wewe ni mtu mzima (kiumri) hapa ndo nitaamini age is nothing,its just a number like any other number...otherwise...ukikua utaacha tu!

BahatI mbaya au nzuri,napenda kufanya maamuzi ninayoyaona ni sahihi kwangu na yanayoniletea amani bila kujal nani kasema nini
 
Kutokumpenda mtu / kukataa asiwe mwenza sababu tu ni house girl nadhani ni kumkosea haki..

Kumchezea mtu / kumuhadaa sababu tu ni inferior kwako kwa hali moja au nyingine ni kutokumtendea haki.., lakini kama lengo lako ni kumfanya mwenza hakuna shida and all the best, ila sio kwamba ukishampiga mimba unamfukuza wakati wewe ndio ulikuwa mwenye makosa

Thanx...
 
Back
Top Bottom