mahaba ya tanga

Huyo jamaa anaonekana teja kabisa acheni kuifananisha Tanga na vitu vya kipuuzi
 
[emoji38] wanasemaga Tanga nyumba mganga nyumba mngese sasa naanza kuamini
 
watoto wa tanga hatujalomaa hivyo japo twazivaa hizo mara moja moja si unajuaa twatoka mapenzi yalipozaliwa lazima tujiongeze haswa maswala muhimu ya chumbani hamna shida mume kuvaa kufuli la mkewe yote hayo ni mahaba tu
 
Bangi ya Malawi iyo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
watoto wa tanga hatujalomaa hivyo japo twazivaa hizo mara moja moja si unajuaa twatoka mapenzi yalipozaliwa lazima tujiongeze haswa maswala muhimu ya chumbani hamna shida mume kuvaa kufuli la mkewe yote hayo ni mahaba tu
Yapi kwahyo lafudhi tu umeprove your origin..
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…