kyalankota
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 2,594
- 1,463
Kazi anayo!
Hapo jamaa anamwambia pole baby wakati yeye ndo anayeumia!
Mambo ya mahaba kuch kuch hota hai hayo lol raha sana
Mambo ya mahaba kuch kuch hota hai hayo lol raha sana
ila zamu zamu, usiku ata bebwa yeye
Kwenye mahaba lazima mmoja aumie...kwa zamu.....ila maumivu yenyewe yawe yanayoleta raha moyoni kama hivyo.....sio kutoana ngeu....
Hapo bado kujiviringisha katika bustani tu.
Dada, nilisahau kukupa website ya upishi. Cookpad.com. Unaitumia?
Hapo Roho Yako Imefurahi Ukibembelezwa Kama Hivyo!
Mambo ya mahaba kuch kuch hota hai hayo lol raha sana
Ipo hiyo huduma hapa hebu tuwasiliane Utaipata bure kabisa ni wewe tu