Mahaba na Mahabati usiwaue walee..

Mahaba na Mahabati usiwaue walee..

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,853
Reaction score
35,588
Kwanza leo ni weekend ndo imeanza na huu ni ujumbe mfupi.

Wana MMU wote katika ujumbe wangu mfupi ambao tunatakiwa tuutafakari kwa kina hasa kati ya mapenzi ya kweli na pesa, mimi naamin hakuna mapenzi pasipo pesa toka dunia imeumbwa au ninyi mnasemaje?
 
Ndoa nyingi zinavunjika kwa tatizo la kipato kushuka au pesa imeisha, wanawake wanaanza kuchepuka kwa kutafuta japo kujibanza na shida zao na wanaume thamani inaisha punde tu unapoishiwa pesa hutoitwa majina yaleeeeeeee, hutobembelezwa kama zamani asalaleeeeeeeeeeeeeee kweli wanaume sisi mateso
 
Nani kakwambia? Kwani pesa ndiyo mgegedo?pesa ndiyo moyo? Pesa HAINA UWEZO WA KUNUNUA TRUE LOVE Never ever !!!

ulishawahi kupenda penye shida chungu mbovu na pasipo na uelekeo wowote ukadumu?
 
Ndoa nyingi zinavunjika kwa tatizo la kipato kushuka au pesa imeisha, wanawake wanaanza kuchepuka kwa kutafuta japo kujibanza na shida zao na wanaume thamani inaisha punde tu unapoishiwa pesa hutoitwa majina yaleeeeeeee, hutobembelezwa kama zamani asalaleeeeeeeeeeeeeee kweli wanaume sisi mateso

ukiona hivyo ujue msingi wa mapenzi yenu ulianzia kwenye PESA !!!
 
kwani dunia imeumbwa lini??

mapenzi maana yake ni nini??
 
Pesa ina umuhimu wake kwenye mapenzi,mtapendanaje bila pesa halafu mnaangaliana tu mkiteseka
 
ndo maana nikasema hakuna mapenzi ya dhati bila pesa hata siku moja
 
Kwanza leo ni weekend ndo imeanza na huu ni ujumbe mfupi.

Wana MMU wote katika ujumbe wangu mfupi ambao tunatakiwa tuutafakari kwa kina hasa kati ya mapenzi ya kweli na pesa, mimi naamin hakuna mapenzi pasipo pesa toka dunia imeumbwa au ninyi mnasemaje?

Mpenzi wako ana pesa sana enhe?
 
mapenzi sio pesa bali pesa ni mbolea ya penzi

kauli yako inarudi kulekule kwenye umuhim wa pesa katika mapenzi kwani kama ni mbolea ina maana bila pesa mapenzi hayatoshamiri wala kukua vyema
 
Back
Top Bottom