mitishamba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 697
- 111
of koz weew sio gwijiKama hii tafsiri ya magwiji ni magwiji basi sijaona magwiji humu!
Habari ndo hiyo:A S embarassed:
Kwa kuwa umependa utajwe...you are one of themYa statement is so plain and low....magwiji wote umekosa kutoa mfano hata m-moko...lol sichangii hapa till u get a clearly vivid eg....!!
Taja id yangu nyingine.Kama wewe mitishamba
Nakukubali sana "Lizzy wangu". Nipo mbioni kuleta posa, hebu nipe taratibu zake zikoje.Though hiyo 'magwiji' siinunui nadhani ni kweli wapo watu wana ID za kuandika thread za maana na za kupost vituko na pumba. . haswa kule chiti chati.
Sababu. . .labda ili
i) wasiwaangushe/wasiwashangaze/wasihukumiwe na wanaowafahamu.
ii) Wanakua na bifu na watu wengine ila hawathubutu kuwatukana kwa ID zao zinazojulikana kwahiyo wanajificha gizani ndio warushe makombora.
iii) Wanataka kuona wale wanaomkubali watamchukulia/wangemchukulia vipi kama angekua kama ambavyo ataAct/amua kufunguka na hiyo ID mpya.
Nimegundua kuwa "magwiji" wa mmu wana id zaidi ya moja...wengine mbili, tatu, nne hata tano na kuendelea.
Na kila moja ina matumizi yake.
Kuna ile ya "ugwiji" hii wanaitumia pale wanapoona wana kitu substance cha kuchangia.
Halafu wanazo nyingine ambazo wanazitumia kutokana na mazingira pamoja na aina ya mchango wanaotaka kutoa.
"Magwiji" bwana!
of koz weew sio gwiji
Ni kweli, hadi siku nitakapokuwa naingia hapo makutano ndo utagundua hilo ni jipya.huna jpya ww! Hii nayo ni habari?
Nimegundua kuwa "magwiji" wa mmu wana id zaidi ya moja...wengine mbili, tatu, nne hata tano na kuendelea.
Na kila moja ina matumizi yake.
Kuna ile ya "ugwiji" hii wanaitumia pale wanapoona wana kitu substance cha kuchangia.
Halafu wanazo nyingine ambazo wanazitumia kutokana na mazingira pamoja na aina ya mchango wanaotaka kutoa.
"Magwiji" bwana!
Acheni mara moja matumizi ya ma-id mengi. Kwa nini mnajificha gizani...!Tunashukuru kwa kuwagundua sasa unataka tuwafanyaje?
Ni kweli, hadi siku nitakapokuwa naingia hapo makutano ndo utagundua hilo ni jipya.
samahani, kwa kinyamwezi/kisukuma hilo neno lina maana gani. mana si wote tunaoelewa lugha yenu.unasemea kivuri chako