Magwanda ya chadema yawa vazi la taifa.

Magwanda ya chadema yawa vazi la taifa.

nkyalomkonza

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2012
Posts
1,154
Reaction score
444
Kumekuwa na Wimbi kubwa la viongozi wa serikali kuvaa mavazi yanayo fanana na Magwanda ya Chadema. Hii inaashiria nini kwa mwaka 2015??
 

Attachments

  • MAGWANDA.JPG
    MAGWANDA.JPG
    81.6 KB · Views: 207
Magwanda ya khaki?

Huna Macho? Kuza Hiyo Picha uone. Wanajiandaa kwa mabadilko, Hata wewe Zomba utavaa tu. Najua kwa sasa una kiburi kwa sababu ya hivyo vijisenti anavyowalipa Nape kwa kazi ya kuchafua hali ya hewa humu.
 
he he he he he he he he kumbe magwanda......
 
Wamevua magamba na wanavaa "gwanda" siku hizi mpaka magogoni!!
 
Back
Top Bottom