Afande Fojuman
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 657
- 548
Zawadi nono kwa atakaejibu kwa Usahihi maswali yafuatayo:
1. Mwenye picha ya Magufuli akiwa na Mwl. J. K. Nyerere aitume, kuna 50,000/= angalizo isiwe editing
2. Mwenye picha ya Mh J. P. Magufuli akihutubia ughaibuni, kuna 70,000/=
3. Mwenye picha Mh Magufuli akimkumbatia mke wake, kuna 40,000/=
4. Mwenye video Mh J P Magufuli akiongea English, kuna 130,000 /=
Mtihani huo, kazi kwenu.