HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 72,949 Reaction score 102,726 Oct 11, 2015 #21 Labda tuone Ratiba yake inasemaje
C christmas JF-Expert Member Joined Jul 21, 2011 Posts 2,701 Reaction score 1,280 Oct 11, 2015 #22 Root said: Labda tuone Ratiba yake inasemaje Click to expand... mkuu jana alitakiwa awe mwembeyanga na matangazo yakutosha ila hakufanya mkutano
Root said: Labda tuone Ratiba yake inasemaje Click to expand... mkuu jana alitakiwa awe mwembeyanga na matangazo yakutosha ila hakufanya mkutano
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 72,949 Reaction score 102,726 Oct 11, 2015 #23 christmas said: mkuu jana alitakiwa awe mwembeyanga na matangazo yakutosha ila hakufanya mkutano Click to expand... Ngoja niitafute tuone maana anaweza kuwa kagoma
christmas said: mkuu jana alitakiwa awe mwembeyanga na matangazo yakutosha ila hakufanya mkutano Click to expand... Ngoja niitafute tuone maana anaweza kuwa kagoma
C christmas JF-Expert Member Joined Jul 21, 2011 Posts 2,701 Reaction score 1,280 Oct 11, 2015 #24 Root said: Ngoja niitafute tuone maana anaweza kuwa kagoma Click to expand... pamoja mkuu
M mokala1989 JF-Expert Member Joined May 4, 2013 Posts 2,236 Reaction score 730 Oct 11, 2015 #25 mfamaji said: tetesi kalazwa nairobi. Kichaa kimepanda Click to expand... kichaa cha kutokea juu ya roof ya gari eti wasaidizi wake watamchelewesha kuwaambia watanzania hatawaangusha! Aliyemwambia atatuangusha ni nani?
mfamaji said: tetesi kalazwa nairobi. Kichaa kimepanda Click to expand... kichaa cha kutokea juu ya roof ya gari eti wasaidizi wake watamchelewesha kuwaambia watanzania hatawaangusha! Aliyemwambia atatuangusha ni nani?
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 72,949 Reaction score 102,726 Oct 11, 2015 #26 christmas said: pamoja mkuu Click to expand... Nimeona Ratiba ni tofauti na ilivyotakiwa kuwa, ila nahisi Magufuli kapotea kweli maana haiwezekani ajifiche kwa siku 2
christmas said: pamoja mkuu Click to expand... Nimeona Ratiba ni tofauti na ilivyotakiwa kuwa, ila nahisi Magufuli kapotea kweli maana haiwezekani ajifiche kwa siku 2
BINARY NO JF-Expert Member Joined Dec 29, 2011 Posts 2,154 Reaction score 2,167 Oct 11, 2015 #27 Balaa za Push up hizo....atakua ......Au kaona nguvu ya umma ni kubwa
strong ruler JF-Expert Member Joined Nov 2, 2013 Posts 4,919 Reaction score 3,312 Oct 11, 2015 #28 Katia mpira kwapani hahaha
Zanzibar-ASP JF-Expert Member Joined Nov 28, 2013 Posts 12,151 Reaction score 44,071 Oct 11, 2015 #29 Mimi nilisikia jana na leo alipaswa kuwa Pemba na Unguja. Lakini ajabu hajaonekana, sasa sijui naye Katoroka?
Mimi nilisikia jana na leo alipaswa kuwa Pemba na Unguja. Lakini ajabu hajaonekana, sasa sijui naye Katoroka?
M Mba Ta Sanja JF-Expert Member Joined Aug 31, 2015 Posts 383 Reaction score 44 Oct 11, 2015 #30 Anatengeneza sera yake kwanza.Ameona sera ya CCM haifai, si unajua tena kuwa hana chama?Hasemi chagua CCM,anasema chagua Magufuli.
Anatengeneza sera yake kwanza.Ameona sera ya CCM haifai, si unajua tena kuwa hana chama?Hasemi chagua CCM,anasema chagua Magufuli.
P Pagan Amum JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 1,930 Reaction score 4,407 Oct 11, 2015 #31 Hawa mods nadhani ni maccm,kuna habari nimeipata kuwa magufuli kalazwa nairobi haijakaa hata dk o imefutwa
Hawa mods nadhani ni maccm,kuna habari nimeipata kuwa magufuli kalazwa nairobi haijakaa hata dk o imefutwa
C christmas JF-Expert Member Joined Jul 21, 2011 Posts 2,701 Reaction score 1,280 Oct 11, 2015 #32 Root said: Nimeona Ratiba ni tofauti na ilivyotakiwa kuwa, ila nahisi Magufuli kapotea kweli maana haiwezekani ajifiche kwa siku 2 Click to expand... kuna na kitu hapa ngoja tusubiri
Root said: Nimeona Ratiba ni tofauti na ilivyotakiwa kuwa, ila nahisi Magufuli kapotea kweli maana haiwezekani ajifiche kwa siku 2 Click to expand... kuna na kitu hapa ngoja tusubiri
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 72,949 Reaction score 102,726 Oct 11, 2015 #33 christmas said: kuna na kitu hapa ngoja tusubiri Click to expand... Lijamaa linavyopenda sifa sidhani kama litakuwa limepumzika tu, lazima atakuwa kanock
christmas said: kuna na kitu hapa ngoja tusubiri Click to expand... Lijamaa linavyopenda sifa sidhani kama litakuwa limepumzika tu, lazima atakuwa kanock
VPN USED2020OCTOBER28 JF-Expert Member Joined Oct 27, 2011 Posts 1,505 Reaction score 676 Oct 11, 2015 #34 Magufuli yupo ngangari
C christmas JF-Expert Member Joined Jul 21, 2011 Posts 2,701 Reaction score 1,280 Oct 11, 2015 #35 Root said: Lijamaa linavyopenda sifa sidhani kama litakuwa limepumzika tu, lazima atakuwa kanock Click to expand... mkuu hapa Mungu anazidi kuwa wa ajabu VIVA UKAWA!!!
Root said: Lijamaa linavyopenda sifa sidhani kama litakuwa limepumzika tu, lazima atakuwa kanock Click to expand... mkuu hapa Mungu anazidi kuwa wa ajabu VIVA UKAWA!!!
IRINGA MOJA JF-Expert Member Joined Nov 13, 2014 Posts 503 Reaction score 229 Oct 11, 2015 #36 kabombe said: Jidu ungeanza kuuliza babu duni kapotelea wapi.wiki ya tatu hii haonekani Click to expand... ha ha ha acha utapeli ww..... inamaanisha hukuona nyomi ya Babu Duni jana Dodoma!!!!!!!! nasikia mwenzie alizomewa mwanza
kabombe said: Jidu ungeanza kuuliza babu duni kapotelea wapi.wiki ya tatu hii haonekani Click to expand... ha ha ha acha utapeli ww..... inamaanisha hukuona nyomi ya Babu Duni jana Dodoma!!!!!!!! nasikia mwenzie alizomewa mwanza
Zanzibar-ASP JF-Expert Member Joined Nov 28, 2013 Posts 12,151 Reaction score 44,071 Oct 11, 2015 #37 Jamani popote pale makada wa CCM mlipo, tunaomba mtuambie, mgombea wetu Magufuli yupo wapi? Mkiendelea kukaa kimya tunakwenda kupachimbisha pale Lumumba.
Jamani popote pale makada wa CCM mlipo, tunaomba mtuambie, mgombea wetu Magufuli yupo wapi? Mkiendelea kukaa kimya tunakwenda kupachimbisha pale Lumumba.
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 72,949 Reaction score 102,726 Oct 11, 2015 #38 christmas said: mkuu hapa Mungu anazidi kuwa wa ajabu VIVA UKAWA!!! Click to expand... Tatizo alianza na mbio sana akijua ni uwanja mfupi, hakujua kuwa ni Marathon na mshindi anahitaji anza taratibu ili aweze shinda.... Alikurupuka sana
christmas said: mkuu hapa Mungu anazidi kuwa wa ajabu VIVA UKAWA!!! Click to expand... Tatizo alianza na mbio sana akijua ni uwanja mfupi, hakujua kuwa ni Marathon na mshindi anahitaji anza taratibu ili aweze shinda.... Alikurupuka sana
Mfamaji JF-Expert Member Joined Nov 6, 2007 Posts 6,629 Reaction score 1,950 Oct 11, 2015 #39 Mti Mtu said: Magufuli yupo ngangari Click to expand... Jibu swali. Yuko wapi?
C christmas JF-Expert Member Joined Jul 21, 2011 Posts 2,701 Reaction score 1,280 Oct 11, 2015 #40 Root said: Tatizo alianza na mbio sana akijua ni uwanja mfupi, hakujua kuwa ni Marathon na mshindi anahitaji anza taratibu ili aweze shinda.... Alikurupuka sana Click to expand... hahaha kweli kabisa mkuu VIVA UKAWA!!!
Root said: Tatizo alianza na mbio sana akijua ni uwanja mfupi, hakujua kuwa ni Marathon na mshindi anahitaji anza taratibu ili aweze shinda.... Alikurupuka sana Click to expand... hahaha kweli kabisa mkuu VIVA UKAWA!!!