Magufuli yupo wapi

Status
Not open for further replies.
Baradhuli mkubwa ww ,shwaini kbsa,unasema anaumwa vyanzo vimekwambia.nyambaf..tcra uyu mtu ashughulikiwe.leo hii alikua ofisi za uenezi kariakoo na tumeona eatv




Swali simple: magufuli yupo wapi???? Hatuhitaji povu kama puff
 

Bandika ratiba ya Makofuli hapa na ushahidi wa watu unaosema wamejaa kwenye hiyo mikutano
 
Magufuli ameshindwa kusema jaman nimeshindwa khali si shwar
 
Ratiba kutoka NEC kwa
ajili ya ya Mgombea Urais
wa CCM inasema:
Tarehe 10/10/2015: Mikoa
mitatu ya Unguja
(Kaskazini, Kusini, Mjini
Magharibi)
Tarehe 11/10/2015: Mkoa
wa Pwani (Mafia) na Lindi
(Kilwa)
Tarehe 12/10/2015: Mkoa
wa Lindi (Ruangwa, Lindi
M, Lindi V, Nachingwea)
Haya jaribu kufuatilia
kujua sasa yuko wapi,
mjumbe hauawi!!!
 
Anapumzikaje na nnasema ni Tingatinga. Je Tinga huwa linachoka? Yeye mmesema pua siyo mgonjwa je mtu mkakamavu mna PushUp kibao huwa anachoka? ACHENI KUTUSANUFU.VUMILIENI DAWA IWAINGIE.!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…