dimaa
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 4,143
- 5,610
Habari zenu wakuu,
Maneno ya rais magufuli wakati akifungua hostel za UD, hii taarifa itawanyong'onyesha wamiliki wa vyuo vingine, TCU hawatakiwi kuwachagulia wanafunzi vyuo, wajichagulie wenyewe vyuo wavipendavyo, tuje katika uhalisia , nadhani kila chuo kina utaratibu wake , mfano SUA unatakiwa uwe na GPA angalau ya 3.5+, hivi mtu mwenye below hapo anafitije?, kama kigezo cha GPA kikaondolewa na yeyote mwenye pass kuchagua chuo akitakacho, vyuo vingine tutarajie vikifa kabisa kutokana na kukosa wanafunzi.
Tutafakari hii kauli ya mkuu,
Karibuni sana,
By
Dimaa.