Magufuli: Walioanguka kura za maoni kuula

Magufuli: Walioanguka kura za maoni kuula

Kama ameanza kusema hivyo imefikia muda wa kwenda na fisi kwenye kampeni ili kuvutia watu kama alivyokuwa anafanya lile jangili lao kinana
 
Siyo kweli kwamba wote walioshindwa kwenye kura za maoni ni wabaya na pia siyo kweli kwamba wote ni wazuri. La hasha. Wapo wazuri na pia wapo wabaya. Ataangalia. Generalization has to be taken carefully. Kwani CHADEMA wote ni wazuri? Hakuna wabaya? Hata Lowasa? You can't be serious.
Eeeeehhh...ooohh....nooo... nooo 

Hivyo atawa kazi wafuatao...!!

1: Ngeleja...

2: Prof. Muhongo..

3: Mama Tibaijuka

4: Membe

5: Migiro..

6: Pinda

7: Bilal

8: Balozi Amina

9: Sitta

10: Prof. Mwandosya

11: Yule mkulima wa Kigoma

13: Kolakola

14: Wale wote wazembe walio anguka kura za maoni ATAWAPA KAZI.. hiyo ndio SERIKALI YA MAGUFULI... huu utani kabisa


etc etc etc....

Hivi hakuna wa kumshauri MAGUFULI...

Is he OK..!? anaongea nn huyu...!!?

Anyway... sbb CCM ndio mwisho wake acha aongee madudu tu....!!!
 
Tatzo magufuri ubongo wa kufikiri mambo n mdogo Mara computer,Mara ajira Kwa waliopigwa chini kula za maoni,Mara mil 50,amebakiza kusema ata lala na madem zetu sasa
 
rushwa ya vyeo. maghufuli anaanza kushiriki rushwa hata kabla hajawa rais. akiwa rais ni hatar
 
Ndo maana ninaamini hakuna jipya chini ya ccm; yaan wale wale wabovu ndo atawapa vyeo sasa utasemaje km sio kukanyagwa mpaka kichwani waziwazi?

AMEPUUZA MATAKWA YA WAPENDA MABADILIKO MI NADHANI HAFAI MAANA ATALETA YALE YALE YA AKNA JK NA BM
 
Kwahyo yupo kwajili yakuwapa fadhila nahakuna kingne chakufanya.tumeumia jamani.hapana japo cdm imenda sivyo lakini ccm hapana
 
ahadi kwa ccm haina maslai cha muhimu kwa ccm ni kutangaza yale yote waliyoyafanya hata kama ni machache watu watayapima lakini kuaidi ahadi nyingine ni kupotea njia namuomba Makufuli kwenye mikutano yake awe anasema tumefanya hili na hile tumeshindwa kulifanya kwa nini basi,asiingie kwenye mtego wa ahadi, ahadi awaachie vyama pinzani maana vyenyewe havijapata na fasi ya kutimiza ahadi zao, huo ndio ushauri wetu sisi kina gogo la shamba maana ndio kazi yetu kutoa ushauri
Hawezi fanya hivyo kwa sababu naye ameingia na kupiga kampeni kama chama cha upinzani. Hii ndiyo strategy ya muda mrefu ilihasisiwa na Kinana!
 
Kawaambia walimu watapata maisha bora kama mapadre, hivyo akikutana na mapadre kuwaomba kura wao watapata maisha bora kama malaika.
Siku ya NNE tuu kesha ishiwa maneno subirini kama hajaanza yale ya kupiga mbizi
 
Ha ha ha yaani Magamba mmhh !! Kwamba Wema atapewa ubalozi ili wakati wa kupig misele wawe na kwa kujipozea..??

Jamani huu ni uungwana..?? Nauliza nani hapa ni mpbv na lofa wa ukweli ???
 
Vijana hatuna ajira huu mwaka wa 7 tangu tume-graduate kila ofc ukifika unaambiwa nafasi hamna! Leo huyu lofa na mpumbavu anasema kazi sipo nyingi?????????

Vijana wenzangu nafikiri mnaona hiki chama kilivyo, tusipotezee muda tukipige chini kabsaaaa!
 
Yale yale ya Kikwete kuwapa UDC na RPC yataendelea kwa Maghufuli.Sasa mabadiliko gani anayazungumzia?
 
Back
Top Bottom