Magufuli Vs Samia

Magufuli Vs Samia

jitombashisho

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2020
Posts
651
Reaction score
2,246
Ni dakika ya ngapi ya mpambano mimi hata sifahamu.Lakini...

Ni lazima mmoja baina yao mwisho wa siku atangazwe mshindi!

Ni lazima mpambano uendelee kuwa wa wazi namna hii ili watoa hukumu waendelee kuwa na maksi sahihi kwa kila mmoja wao.

Ni lazima Samia aongeze kasi ya kuupiga mwingi ili kwalo angalau azibe mapengo ya alama alizoachwa nyuma na JPM.

JPM mzuri sana kwa kukaba mianya na matobo na ndiyo maana maksi nyingi bado wengi wanampa yeye...

Mama anazingua katika mipira ya kona

Hili game kwa namna lilivyo umama ukizidi sidhani kama atatoboa huyo mzenji.

Yangu macho!
 
Kwa kauli ana mipango na mikakati mizuri ya kutekeleza Ilani ya CCM, aliyoinadi wakati wa kampeni ya Uchaguzi Mkuu 2020. Je, ataweza kuishi kwa kauli hizo kwa maslahi mapana ya Taifa? "Mwungwana ni vitendo"
 
Kuna watu wanarudishiwa faini zao kwa sababu hukumu ilikua batili, sijui taarifa hizi unazo ... ???!!!

Unachezea MABEBERU wewe hawataki ujingaujinga washaweka pini sehem taratiiibu LEGACY inaanza kufutwa

Mzimu wa Aquilina unaanza kuitafuna taratibu LEGACY shubaamit na bado ni mwendo wa karata moja baada ya nyingine

Vipi wimbo wa LEGACY nao, naona unazidi kushuka kwenye vocal scale za low keys sana kulikoni ... !!!
 
Unapomlinganisha mtu muungana, mstaarabu, mwerevu NA mtu katili, mshamba, mtesaji, mdhulumaji, mbaguzi, muuaji- ni kumkosea sana huyo mtu wa kwanza.

Marehemu anastahili kushindanishwa na mtu kama Idd Amin, Bokasa au Nguema.
 
Ni dakika ya ngapi ya mpambano mimi hata sifahamu.Lakini...

Ni lazima mmoja baina yao mwisho wa siku atangazwe mshindi!

Ni lazima mpambano uendelee kuwa wa wazi namna hii ili watoa hukumu waendelee kuwa na maksi sahihi kwa kila mmoja wao.

Ni lazima Samia aongeze kasi ya kuupiga mwingi ili kwalo angalau azibe mapengo ya alama alizoachwa nyuma na JPM.

JPM mzuri sana kwa kukaba mianya na matobo na ndiyo maana maksi nyingi bado wengi wanampa yeye...

Mama anazingua katika mipira ya kona!

Hili game kwa namna lilivyo umama ukizidi sidhani kama atatoboa huyo mzenji.

Yangu macho!
Acha kumlinganisha Rais kiongozi na Yule Dikteta alitaka kujimilikisha nchi na genge lake. Mwenzako Sabaya ananyea Debe usiku. Mtaota mpaka mpagawe. Rais ndiyo mama Samia Suluhu Hasan halinganinywi na kinyamkela chochote kile. MATAGA mtage mpaka nyumba ya mayai iishe Ila ndiyo hivyo tena. Mkitaka kumfuata Jamaa sageni vyupa na nyembe mmezee na coke baridi. Simple
 
Unapomlinganisha mtu muungana, mstaarabu, mwerevu NA mtu katili, mshamba, mtesaji, mdhulumaji, mbaguzi, muuaji- ni kumkosea sana huyo mtu wa kwanza.

Marehemu anastahili kushindanishwa na mtu kama Idd Amin, Bokasa au Nguema.
Chukua 10 Mkuu. Mwambie huyo Jamii ya MATAGA. Mwambie Yuko MATHA kwa raha hakuna kupotezana wala kumwaga damu. Siku 100 za mama zimerejesha furaha na Amani mioyoni mwa watanzania. Hata nikiwa sina kumi mfukoni lakini naishi bila kulinganishwa na shetani huoni ni Raha Sana hiyo? Mwambie huyo TAGA🤣🤣🤣🤣🤣
 
Unapomlinganisha mtu muungana, mstaarabu, mwerevu NA mtu katili, mshamba, mtesaji, mdhulumaji, mbaguzi, muuaji- ni kumkosea sana huyo mtu wa kwanza.

Marehemu anastahili kushindanishwa na mtu kama Idd Amin, Bokasa au Nguema.
Chukua 10 Mkuu. Mwambie huyo Jamii ya MATAGA. Mwambie Yuko MATHA kwa raha hakuna kupotezana wala kumwaga damu. Siku 100 za mama zimerejesha furaha na Amani mioyoni mwa watanzania. Hata nikiwa sina kumi mfukoni lakini naishi bila kulinganishwa na shetani huoni ni Raha Sana hiyo? Mwambie huyo TAGA
 
Ni dakika ya ngapi ya mpambano mimi hata sifahamu.Lakini...

Ni lazima mmoja baina yao mwisho wa siku atangazwe mshindi!

Ni lazima mpambano uendelee kuwa wa wazi namna hii ili watoa hukumu waendelee kuwa na maksi sahihi kwa kila mmoja wao.

Ni lazima Samia aongeze kasi ya kuupiga mwingi ili kwalo angalau azibe mapengo ya alama alizoachwa nyuma na JPM.

JPM mzuri sana kwa kukaba mianya na matobo na ndiyo maana maksi nyingi bado wengi wanampa yeye...

Mama anazingua katika mipira ya kona!

Hili game kwa namna lilivyo umama ukizidi sidhani kama atatoboa huyo mzenji.

Yangu macho!

Usimlinganishe huyo mama na shetani tafadhali.
 
Akili zingine bwana! Unamlinganisha mtu ambae alieongoza nchi miaka 6 na mtu ambae ana only 3 month's!!!! Mahaba yamekupofusha mkuu mpaka unaongea city siyo kabisa
 
Back
Top Bottom