We thubutu huyo ndie mrithi wa jiwe.Bashite yupo upande gani....ukimya wake juu ya hili jambo anaonekana yupo nyuma ya the Gang of 5......manaake angekua nyuma ya Jiwe angekua kesharopoka kitambo
Simba akijaa katika pembe tunasahauAlways lion wins!! Hata kama kwa mbinde! Viva Magufuli.View attachment 1159096
Hata baunsa huwa analiwa kiboga halafu utamsikia akisema *shabash! Wamenila kiboga ila mbingili lake lilikuwa si la kitoto*Always lion wins!! Hata kama kwa mbinde! Viva Magufuli.View attachment 1159096
Simba wa serengeti hajai kwenye pembe kiboya.Simba akijaa katika pembe tunasahau
Nope!Hata baunsa huwa analiwa kiboga halafu utamsikia akisema *shabash! Wamenila kiboga ila mbingili lake lilikuwa si la kitoto*
Nalog off
Bashite sio mwenzakoBashite yupo upande gani....ukimya wake juu ya hili jambo anaonekana yupo nyuma ya the Gang of 5......manaake angekua nyuma ya Jiwe angekua kesharopoka kitambo
Hahaha kakaa ule mkao wake wa kubinua tako moja pembeni? Nilijaribu kuzoom lakini sikuona mkiaBashite sio mwenzakoView attachment 1159212
Hao wotr hawana impact kwa Chama na hata kwa Nchi. Mnawapa vichwa bure tu. Hawana lolote.A very good analysis so to speak…Big up!
Kwani huyo ni wa Serengeti au ni wa burigi?Simba wa serengeti hajai kwenye pembe kiboya.
Inawezekana. Swali la ziada hivi kwanini Sophia Simba alipomkana Yohana hadharani hakufukuzwa chamani?Kuna mchezo mmoja wa watoto unaitwa 'Who Will Blink First'. Katika mchezo huo watu wawili wanaangaliana na anayekuwa wa kwanza ku 'blink' au kupepesa macho anakuwa ameshindwa.
Katika sakata linaloendelea huko ndani ya CCM mchezo ambao umekuwa unachezwa ni huu nilioutaja hapo juu.
Toka audio clips zilipoanza kutoka nilisema hizi zimerekodiwa na kuachiwa na wahusika wenyewe kwa lengo maalumu (sikulitaja kwa sababu nilikuwa bado nafanya tathmini).
Team CCM-Asilia kama walivyosikika wanasema ni kwamba wanajaribu kuchochea na kuwapa ujasiri wana CCM-Asilia wengine waanze kutoa hisia zao waziwazi kuhusu mienendo ya chama na nchi.
Nimetoka kusikiliza clip ya Membe na Katibu Kata, hii clip na yenyewe imeachiwa kimkakati kabisa. Ukizungumza ngazi ya Kata unaongelea CCM wa chini huku, hii wamefanya ili isionekane kuwa hili ni suala la wazito walio juu tu.
Kwa kumalizia, kitendo cha The Gang of Five kwa mpigo kujihusisha na waraka na audio clips pia haikuwa kwa bahati mbaya. Wanajua Magufuli pamoja na jeuri yake hawezi kuwavua uanachama wote Membe, Makamba Sr na Jr, Nape, Kinana kwa mpigo. Swali linabaki, je atatoa adhabu gani huku akiwaweka hawa siyo tu 'at arms length' lakini ikiwezekana pia kuwatenganisha na wakati huo huo aweze kuproject mamlaka isiyotikisika? Hilo ndiyo zoezi kubwa linalomkabili.
Je akifukuza baadhi yao na wengine akawapa onyo kali kama alivyofanya wakati ule kwa Sophia Simba na Nchimbi, je haitaonekana amewaogopa? Ukizingatia ukubwa wa 'kosa' wanaloshutumiwa nalo hiyo italeta tafsiri gani kwa wengine wanaosikilizia upepo unaelekea wapi? Je, The Gang of Five hawataonekana mashujaa wanaostahili kuigwa?
Wasiwasi wangu ni kuwa hili jambo linaweza kabisa kwenda out of control na likatuathiri hata watazamaji. Ni dhahiri The Gang of Five hawako peke yao. Ni wazi Magufuli analijua hilo. Na yeye anapalilia vitu ili mambo yakienda ndivyo sivyo aende kama Tony Montana. Huo ndiyo wasiwasi wangu.
Kumbe mume wenu mnampenda. Akikaa kimya mnawashwa washwaBashite yupo upande gani....ukimya wake juu ya hili jambo anaonekana yupo nyuma ya the Gang of 5......manaake angekua nyuma ya Jiwe angekua kesharopoka kitambo
Inawezekana. Swali la ziada hivi kwanini Sophia Simba alipomkana Yohana hadharani hakufukuzwa chamani?
Najiuliza tu:Bado alikuwa mgeni kwenye chama kwa hiyo labda alitaka kwenda nao taratibu. Pia kumbuka kuna kusalitiana, hauwezi kujua role yake kwenye lile sakata lilikuwa ni nini hasa.