Magufuli utatoa wapi pesa kutekeleza hii miradi?

Kimla

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2008
Posts
3,953
Reaction score
6,996
Hebu anaglieni miradi mikubwa inayoanza na itakayoanza mda si mrefu..je hizi peas Magu anatoa wapi??
1.Strogersgorge:2100MW rufiji..
see Wazabuni 66 wajitokeza mradi wa umeme wa Stiegler’s Gorge — Ministry of Energy and Minerals
2. Kupanua Barabara ya Mwenge---Moroko to be 8 lane na fly over ya Moroko na Mwenge
3.Ujenzi wa barabara kutoka Kimara had Chalinxe--8 lane super highway
4.Kuchimba maji kigambon..Kuzalisha lita 50 million per day.
5.Kuleta maji za ziwa Victoria Tabora, Nzega, Igunga
6.Kuunganisha Barabara ya Nyakanazi to Kigoma kwa Rami.
7.Ujenzi wa majengo ya Wizara na Taasis zake Dodoma
8.Kupanua Bandari za Dar na Mtwara na Tanga
9.Kupanua Viwanja vya ndege
10.Kununua ndege zote
11.Kuongeza Mwendo kasi Moroko--Tegeta, Kariakoo Mbagala, Kariakoo tabata
13.Standard Gaurge..14 tirrions costs

Hizi pesa Magu unazitoa wapi wakati makusanyo yanarange tillion 1 kwa mwez, hapo utoe mishahara ya wafanyakazi (550 Billion),Madeni 400 Billion hivyo unabakiza 50 Billion kwa mwezi kwa ajili ya OCs na Miradi ya Maendeleo. Swahi je Magu anatoa wapi hizi pesa za miradi mikubwa hivi wakati mapato nikidogo??? Au anaprint hera. Nasema hvyo kwani serikali haijapata mikopo ya maana tangia iingie madarakani.
 
Nyingine si ndo unasikia mikopo $500M alafu malipo $900M utasema tumechanganyikiwa. Sijawahi ona deni lina interest kubwa namna hiyo toka nazaliwa.
serikali haijapata mikopo mikubwa ya miradi hiyo...ndo maana nikauliza swali
 
Mpaka sasa nchi iko vilevile kama alivyoiacha kikwete,naona kahangaika kukopa trilioni moja,lakini ni wazi haitufikishi popote
 
Bingwa wa kuomba omba huyo anaomba hela za maaada mpaka kwa whatsapp yaani kamuomba mpaka Zuma wakati SA wenyewe majalala
 
Mpaka sasa nchi iko vilevile kama alivyoiacha kikwete,naona kahangaika kukopa trilioni moja,lakini ni wazi haitufikishi popote
Nyie endelea kukariri 2019 mwishoni mtashangaa sana,kuna project kibao zipo hewani lakini kwasababu mmejitwisha chuki za kisiasa,mnakuwa blind.Ila nakuhakikishia miaka 2 tu ijayo,hamtaamini macho yenu na uchaguzi 2020 upinzani utapoteza viti vingi sana.Ndo maana wajanja wa upinzani wameshtuka wapo kimya tu.
 
Hebu anaglieni miradi mikubwa inayoanza na itakayoanza mda si mrefu..je hizi peas Magu anatoa wapi??
1.Strogersgorge:2100MW rufiji..
see Wazabuni 66 wajitokeza mradi wa umeme wa Stiegler’s Gorge — Ministry of Energy and Minerals
2. Kupanua Barabara ya Mwenge---Moroko to be 8 lane na fly over ya Moroko na Mwenge
3.Ujenzi wa barabara kutoka Kimara had Chalinxe--8 lane super highway
4.Kuchimba maji kigambon..Kuzalisha lita 50 million per day.
5.Kuleta maji za ziwa Victoria Tabora, Nzega, Igunga
6.Kuunganisha Barabara ya Nyakanazi to Kigoma kwa Rami.
7.Ujenzi wa majengo ya Wizara na Taasis zake Dodoma
8.Kupanua Bandari za Dar na Mtwara na Tanga
9.Kupanua Viwanja vya ndege
10.Kununua ndege zote
11.Kuongeza Mwendo kasi Moroko--Tegeta, Kariakoo Mbagala, Kariakoo tabata
13.Standard Gaurge..14 tirrions costs

Hizi pesa Magu unazitoa wapi wakati makusanyo yanarange tillion 1 kwa mwez, hapo utoe mishahara ya wafanyakazi (550 Billion),Madeni 400 Billion hivyo unabakiza 50 Billion kwa mwezi kwa ajili ya OCs na Miradi ya Maendeleo. Swahi je Magu anatoa wapi hizi pesa za miradi mikubwa hivi wakati mapato nikidogo??? Au anaprint hera. Nasema hvyo kwani serikali haijapata mikopo ya maana tangia iingie madarakani.
Uchumi wa gesi unatosha kugharimia kila kitu, ila miaka 10 haitoshi kukamilisha hii miradi yote, ndio maana for continuity, tunapendekeza Magufuli andelee kwa miaka 20, tukiona bado anahitajika, then tumpatie indefinite extension kama Kagame, Museveni na Mugabe!.

Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?

Na Magufuli akigoma kuendelea baada ya 2025 then,
Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze...

Paskali
 
Uchumi wa gesi unatosha kugharimia kila kitu, ila miaka 10 haitoshi kukamilisha hii miradi yote, ndio maana for continuity, tunapendekeza Magufuli andelee kwa miaka 20, tukiona bado anahitajika, then tumpatie indefinite extension kama Kagame, Museveni na Mugabe!.

Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Paskali

Swadakta Pasco!

JPM ni Pain Killer dhidi ya Kelele za Muda mrefu za wa Tz Mf
1) Kuomba omba nje ya Nchi
2) Matumizi ya Anasa
3) Kucheka Cheka na Wawekezaji
4) Nidhamu Serikalini
5) Rushwa
6) Ufisadi
7)Vurugu za Kisiasa

Kwa Kifupi pamoja Na Mapungufu yake yote JPM anafaa sana kunyoosha waliopinda
 
Nyie endelea kukariri 2019 mwishoni mtashangaa sana,kuna project kibao zipo hewani lakini kwasababu mmejitwisha chuki za kisiasa,mnakuwa blind.Ila nakuhakikishia miaka 2 tu ijayo,hamtaamini macho yenu na uchaguzi 2020 upinzani utapoteza viti vingi sana.Ndo maana wajanja wa upinzani wameshtuka wapo kimya tu.

Mkuu hakuna anayebisha kwamba hiyo miradi yote itatekekezeka. Itatekelezeka yote na hata mingine mikubwa zaidi. Ila huyo jamaa ameongelea uhalisia wa kipato cha nchi, hizo hela anazitoa wapi? Tunajua ni lazima atakopa hilo halikwepeki, je anaweza kukopa kiwango chote hicho na akapata hizo hela za kutimiza hiyo miradi.

Ccm kushinda uchaguzi sio ajabu na ushindi wa ccm katika nchi hii ni by default. Na kwa aina ya siasa za Magufuli ni dhahiri tume ya uchaguzi itahakikisha anashinda kwa kishindo. Kumbuka nchi hii hakuna fair competition kwenye uchaguzi hivyo ni dhahiri atashinda tena kwa margin anayoitaka ila sio kwa ubora. Jaribu kuangalia mpaka sasa anasifiwa amefanya vizuri sana, je ni kweli maisha ya wananchi ni bora kwa kiwango cha sifa anazopewa? Hebu nitajie kiwango cha ajira aingie madarakani kimepanda? Je kwenye kilimo amefanya la msingi maana huko ndio kuliko na watanzania wengi tena masikini, ajira kwa watumishi na mishara yao imeongezeka? Weka ushabiki pembeni elezea mabadiliko maeneo hayo na sio propaganda. Pia kuna uzi hapa jukwaani unauliza watu wataje viwanda vilivyoko mikoani kwao vilivyojengwa hadi sasa. Umetaji vingapi hadi sasa na vitaajiri watu wangapi kwa kadirio?

Halafu hii tabia ya kusema chuki ni kama hamuelewi kwamba nchi hii ni ya vyama vingi ni dhahiri kuna watu watakosoa na kubeza kwani kushindwa kwake hasa miradi anayotaja ndio nafasi ya wao kupata ushindi. Pia kupitia kubeza na kukosoa huko ndio kutakomfanya yeye achape kazi kuhakikisha anawaziba midomo wakosoaji/washindani wake hatimaye faida kwa nchi.
 
Mkuu pitia hiyo link ya mleta mada 1... inaanza na Wazabuni 66 wajitokeza mradi wa umeme wa....,utaona mahali kuna maelezo kama haya ...."
Sambamba na hilo, Dkt. Kalemani aliweka wazi kuwa mkandarasi atakayepewa kazi ya kujenga mradi huo ni yule tu atakayeridhia kujenga mradi kwa gharama nafuu na kwa muda mfupi ndani ya kipindi cha miezi 36.

Alisema kuwa tayari Serikali imetenga fedha za kutekeleza mradi huo ambao unatarajiwa kukamilika ndani ya miaka mitatu baada ya kumpata mzabuni na kuanza ujenzi wake."

Amini maneno yangu serikali sasa hivi ina pesa za kutosha tu,na hii miradi itakamilika kama ilivyopangwa.Swali la mleta mada ni zuri sana na fikirishi.Ukusanyaji wa mapato wa serikali upo juu miaka yote ila pesa zilikuwa zinaishia mikononi mwa wajanja.Nakubaliana na wewe viwanda havijawa vingi kila mkoa kama tulivyotarajia,ila bado ni mapema kuhukumu.Tatizo linaanzia sehemu moja,watanzania wenye uwezo walio wengi hawajazoea pesa za ku hustle,nikupe mfano mmoja wakati fulani 2011 Mh.Ole Sendeka aliwahi kusema bungeni kuwa tungekuwa na watu kama Mengi angalau wawili kila mkoa tungekuwa mbali sana.Watanzania wenye uwezo wa kuanzisha viwanda wapo wengi sana,lakini kutokana na pesa zao zimepatikana kifisadi hawataki kuwekeza pesa katika namna ya ku hustle.Kuendesha kiwanda kunahitaji dedication ya pesa na muda pia.Wengi wanaishia kununua hisa,au kujenga apartments au hotel ambazo mwishowe ajira zinapatikana kwa uchache.Hapo utaona nia ya JPM ni nzuri ila tatizo ni sisi wenyewe.
Tatizo la ajira nakubaliana na wewe kuongezeka,lakini kuna kitu watu wanakisahau.. Tangu miaka kati ya 8 hadi 15 iliyopita intake ya form five.,college, vyuoni pamoja na vyuo vyenyewe vinaongezeka kwa % kubwa kila mwaka,wakati nafasi za serikalini ambayo ndo muajiri mkubwa karibu ni zilezile.Ili ajira ziwe za kutosha ilibidi angalau watu waanzishe viwanda katika sekta binafsi ili angalau sekta binafsi ipunguze pengo la wanaoishia street baada ya kutoka vyuoni.Na kingine watu wanaotoka vyuoni wengi wana mentality ya lazima waajiriwe,hili swala nchi jirani kama Kenya au Nigeria wameshalisahau siku nyingi,ni rahisi kukuta mtu yupo first year ana banda la chips mtaani,wakati akiwa free kidogo jioni waweza mkuta kasimama mwenyewe kwenye goli akimenya viazi au kukaanga chips,na mtaji ni pesa aliyobana kwenye Boom,ila hapa wanashindana kununua galaxy S6 na S7,yule wa Kenya akimaliza chuo tayari ana mtaji wa kuanzisha restaurant wakati huyu wa hapa anakaa kwa shemeji Sinza anayefanya kazi Tigo au Voda huku akiwa amejaa jeuri ya degree aliyoipata na ndoto za mshahara mkubwa na kuendesha IST miezi michache baadae.Mkuu matatizo na changamoto ni nyingi sana,nyingine zinatokana na mifumo aliyoikuta raisi wetu nyingine ni sisi wenyewe,naweza kutoa maelezo page hata 10.
 
Swadakta Pasco!

JPM ni Pain Killer dhidi ya Kelele za Muda mrefu za wa Tz Mf
1) Kuomba omba nje ya Nchi
2) Matumizi ya Anasa
3) Kucheka Cheka na Wawekezaji
4) Nidhamu Serikalini
5) Rushwa
6) Ufisadi
7)Vurugu za Kisiasa

Kwa Kifupi pamoja Na Mapungufu yake yote JPM anafaa sana kunyoosha waliopinda

Kuna tatizo moja naliona nchi hii na kwa kiasi kikubwa ubora wa Magufuli unapimwa kwa kufananishwa na Kikwete. Yaani eti Magufuli ni bora kwakuwa anaongoza tofauti na Kikwete japo sio bora kwa mantiki ya maisha yetu. Nikisema hivi simaanishi hana mazuri, na hakuna mtu asiye na mazuri au mabaya. Nijikite kwenye list yako

  1. Sio kweli haombi nje, mwanzo alivyoingia madarakani aliamini sisi ni matajiri sana akaanza lugha za masikini jeuri leo hii anaona aibu kuomba lakini yuko hoi. Ila tusijitoe ufahamu wamekuja hapa nchi kawaomba misaada na wote tumesikia. Mfano mfalme wa Morocco, indian PM nk.
  2. Matumizi ya anasa hapa anafanya vizuri.
  3. Hapa pia anafanya vizuri japo ni kwa makosa yaliyofanyika hata yeye akiwa waziri. Ila tunangoja tija ya eneo hili.
  4. Nidhamu niwe nusunusu kwa kusema sio nidhamu persee bali hofu. Tunasubiri tija eneo hili kwani matokeo ni muhimu zaidi.
  5. Rushwa kubwa kubwa kafanikiwa ila rushwa ndogondogo bado ipo, hii itachukua muda kulingana na mindset zetu.
  6. Ufisadi hapa pia anafanya vizuri ila kwenye kuchukua hatua kwa waliotuhumiwa kwa ufisadi ana double standard.
  7. Vurugu za kisiasa hapa hatuwezi kumsifia kwani ndipo ulipo udhaifu wake. Sio mtu anayeamini kwenye ushindani au hoja kinzani. Kwa hiyo hapa sio eneo analoweza kupata sifa kwani kuua upinzani sio afya kwa nchi bali kwake binafsi.
 
tulieni mkunwe upele hapa KAZI TUU
 
Sisi Waafrika ni watu wa ajabu sana.

Badala ya kujenga mifumo na Taasisi bora na imara, ikiwemo katiba bora, sisi tuko busy kujenga pesonalities za viongozi! And that is the problem of we Africans! Huwa hatuwazi what will happen after that leader is gone!

Yani badala ya kuwaza Tanzania itakuwaje some 50-100 years to come, sisi tunawaza kubadilisha vifungu vya katiba ili Rais ageuke mfalme atawale "milele"! Shame!

Look at Chad, look at Uganda, Zimbabwe, Cameroon and recently, Gambia, Angola and Gabon. Viongozi hawatoki mpaka either wafariki madarakani au wazeeke to the extent hawajitambui tena. Still wananchi wake bado ni maskini tu wa kutupwa.

God rescue Afrika.
 
hoja yako haiendani na topic...
 
uliza kwanza alitoa wapi hela za kulipia mamia ya km za lami alizofungua kagera,kigoma,tabora na Singida ndio utajua,wakati bado tunakomaa na madini kwwanza tunalala na wawekezaji wa ndani(efds lazima kila mfanyabiashara awe nayo),miradi uliyoitaja hapo sio kwamba yote haijaanza,mfano namba 9(terminal 3),halafu umejifunga kusema hatupati mikopo ya maana wakati Marekani na Gates wameleta neema juzijuzi tu hapa
 
Mkuu pitia hiyo link ya mleta mada 1... inaanza na Wazabuni 66 wajitokeza mradi wa umeme wa....,utaona mahali kuna maelezo kama haya ...."
Sambamba na hilo, Dkt. Kalemani aliweka wazi kuwa mkandarasi atakayepewa kazi ya kujenga mradi huo ni yule tu atakayeridhia kujenga mradi kwa gharama nafuu na kwa muda mfupi ndani ya kipindi cha miezi 36.

Alisema kuwa tayari Serikali imetenga fedha za kutekeleza mradi huo ambao unatarajiwa kukamilika ndani ya miaka mitatu baada ya kumpata mzabuni na kuanza ujenzi wake."

Amini maneno yangu serikali sasa hivi ina pesa za kutosha tu,na hii miradi itakamilika kama ilivyopangwa.Swali la mleta mada ni zuri sana na fikirishi.Ukusanyaji wa mapato wa serikali upo juu miaka yote ila pesa zilikuwa zinaishia mikononi mwa wajanja.Nakubaliana na wewe viwanda havijawa vingi kila mkoa kama tulivyotarajia,ila bado ni mapema kuhukumu.Tatizo linaanzia sehemu moja,watanzania wenye uwezo walio wengi hawajazoea pesa za ku hustle,nikupe mfano mmoja wakati fulani 2011 Mh.Ole Sendeka aliwahi kusema bungeni kuwa tungekuwa na watu kama Mengi angalau wawili kila mkoa tungekuwa mbali sana.Watanzania wenye uwezo wa kuanzisha viwanda wapo wengi sana,lakini kutokana na pesa zao zimepatikana kifisadi hawataki kuwekeza pesa katika namna ya ku hustle.Kuendesha kiwanda kunahitaji dedication ya pesa na muda pia.Wengi wanaishia kununua hisa,au kujenga apartments au hotel ambazo mwishowe ajira zinapatikana kwa uchache.Hapo utaona nia ya JPM ni nzuri ila tatizo ni sisi wenyewe.
Tatizo la ajira nakubaliana na wewe kuongezeka,lakini kuna kitu watu wanakisahau.. Tangu miaka kati ya 8 hadi 15 iliyopita intake ya form five.,college, vyuoni pamoja na vyuo vyenyewe vinaongezeka kwa % kubwa kila mwaka,wakati nafasi za serikalini ambayo ndo muajiri mkubwa karibu ni zilezile.Ili ajira ziwe za kutosha ilibidi angalau watu waanzishe viwanda katika sekta binafsi ili angalau sekta binafsi ipunguze pengo la wanaoishia street baada ya kutoka vyuoni.Na kingine watu wanaotoka vyuoni wengi wana mentality ya lazima waajiriwe,hili swala nchi jirani kama Kenya au Nigeria wameshalisahau siku nyingi,ni rahisi kukuta mtu yupo first year ana banda la chips mtaani,wakati akiwa free kidogo jioni waweza mkuta kasimama mwenyewe kwenye goli akimenya viazi au kukaanga chips,na mtaji ni pesa aliyobana kwenye Boom,ila hapa wanashindana kununua galaxy S6 na S7,yule wa Kenya akimaliza chuo tayari ana mtaji wa kuanzisha restaurant wakati huyu wa hapa anakaa kwa shemeji Sinza anayefanya kazi Tigo au Voda huku akiwa amejaa jeuri ya degree aliyoipata na ndoto za mshahara mkubwa na kuendesha IST miezi michache baadae.Mkuu matatizo na changamoto ni nyingi sana,nyingine zinatokana na mifumo aliyoikuta raisi wetu nyingine ni sisi wenyewe,naweza kutoa maelezo page hata 10.

Mkuu kwanza nikupongeze kwa kujibu kwa hoja na kuweka propaganda pembeni. Sasa najiuliza kwanini mnakimbilia kwenye smg kumbe mngeweza kutoa maelezo mazuri hata kama sio ya mafanikio lakini yanaingia akilini.

Hilo la mradi wa stiegler gorge nasubiri utekekezaji wake zaidi kuliko jitihada ninazoziona sasa. Kuna hii tabia ya kuanza jambo kwa kulitangaza kupata kick kisha linaishia hewani. Mfano ule wa 50m@kijiji mpaka bajeti iliyoisha lakini hakikutekelezwa hata kijiji kimoja na kwenye bajetu ya sasa wala halipo. Utekekezaji wa hili la umeme ni muhimu.

Kwenye viwanda naona nadharia na matarajio yalikuwa juu kuliko uhakilisia ndio maana umeona kuna post inayomuonyesha PM kwenye kiwanda cha twyford, wamesahau hata JPM alionyeshwa akitembelea kiwanda hichohicho. Tumeambiwa Pwani kuna viwanda 300+ lakini hatujawahi hata kuonyeshwa ujenzi wa hivyo viwanda. Hapa ni propaganda kuwapagawisha wananchi ili waimbishwe uchapa kazi.

Ajira, kwa kweli eneo hili awamu hii imeshindwa kabisa na ndio hapo kwa hofu inapowaingia wapiga debe wa awamu hii mpaka kufukia kutaka kuchezea katiba kws kupanua goli kufikia miaka 7. Ukienda kwenye kilimo japo ndio chenye kutoa ajira kubwa ni kama kumemshinda jamaa kabisa na sioni akipaweza. Ajira serekalini napo bado hana jipya kama watangulizi wake.

Kwa hiyo unapoona sisi wapingaji na wakosoaji tunafanya upande wetu msikimbilie kusema tuna chuki bali tuna hoja. Kwa hiyo tunasema ubora wa jamaa tunaupins kwenye maenei hayo na sio kwenye kukunja ndita na kuongea kwa jazba. Tujadilianeni kwa hoja na sio mambo ya smg kwani kwetu tunaona smg zinatumika sio kwa sababu za uzalendo bali nkuficha udhaifu.
 
first thing first sasa hivi makusanyo yako kwenye 1.3tr na jamaa anataka tufunge huu mwaka na 1.4tr so tunakuwa na hela za miradi kama bilioni 450 kila mwezi,kwa haraka haraka anaweza kukamilisha miradi karibia 10 kwa makusanyo ya miezi 10 pekee,anaposema "Makame tangaza tenda ndani ya wiki tatu mimi najua hela ipo" ni kweli jamaa hatanii
 
Back
Top Bottom