Magufuli usichanganye majukumu yako ya kisiasa na ya Kiserikali. Pesa za walipa kodi watanzania zinatumika vibaya

Kwa taarifa, kwa JPM, fedha za serikali zote ni zake, ana uwezo wa kuamuru chochote na kufanya chochote mahali popote. hakuna cha Katiba wala sheria wala kanuni. Yeye ndiyo katiba, sheria na kanuni. kwa hiyo anaweza kuamua kuongea kama mwenyekiti wa CCM hata akiwa nyumbani kwake na mkewe.
A good definition of a dictator
 
Rais alipiga marufuku mikutano ya siasa, inakuaje yeye anafanya tena kwa kodi zetu.Kuna haja ya Watanzania kuamka na kumpinga huyu mtu wazi wazi kama anavyofanya Mkuu Lissu.
 
Back
Top Bottom