tajirijasiri
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,864
- 3,851
- Thread starter
- #41
Unawezaje kuandaa watumishi wenye uwezo wa kujiajiri wakati mafunzo kwa vitendo (a.k.a field a.k.a practical) ni kuvutana daily kati ya wanachuo na serikali?Kwa shule ambazo ndugu zetu watumishi wamesoma au misingi ya shule zetu zinamwandaa mwanafunzi kuajiliwa na si kujiajili na tyari umesha soma uko kazini field zingine huzijui na huna uzoefu useme waache kazi ...unafanyaje na jamaa ndo kawabana hawafurukuti kila siku kuagiza hela toka kijijini mara oooh uza ng'ombe flani kesho nyingine. Mtu kasoma hadi chuo ana master tena cjui kasoma tena CPA ana experince ya miaka 7 kazini lakini kuishi kwake mjini anategemea ng'ombe za kijijini. Ukimuuliza msharahara kumbe hata haufiki milioni moja. Lazima wachanganyikiwe