tajirijasiri
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,864
- 3,851
- Thread starter
- #21
Ukiona hoja ya mwenzako imegusa wengi, ujue ya kwako haina mashiko. Watumishi wananyanyasika sana in the name of UHAKAKIKI WA WATUMISHI HEWA.Kama huna cheti toka tu tuingie wenye navyo,vyeti vyako vyote unatakiwa uwe navyo sasa cheti unakiacha kijijini unamwachia nani? Bibi yako ama mjomba ako?
Kila mmoja apate haki yake,kuna dada mmoja alitumiaga cheti cha dada yake kwenda kusoma ualimu....namwona saivu amepungua ghafla