Magufuli unasumbua watumishi wa umma. Watakosa motisha.

Kwa shule ambazo ndugu zetu watumishi wamesoma au misingi ya shule zetu zinamwandaa mwanafunzi kuajiliwa na si kujiajili na tyari umesha soma uko kazini field zingine huzijui na huna uzoefu useme waache kazi ...unafanyaje na jamaa ndo kawabana hawafurukuti kila siku kuagiza hela toka kijijini mara oooh uza ng'ombe flani kesho nyingine. Mtu kasoma hadi chuo ana master tena cjui kasoma tena CPA ana experince ya miaka 7 kazini lakini kuishi kwake mjini anategemea ng'ombe za kijijini. Ukimuuliza msharahara kumbe hata haufiki milioni moja. Lazima wachanganyikiwe
Unawezaje kuandaa watumishi wenye uwezo wa kujiajiri wakati mafunzo kwa vitendo (a.k.a field a.k.a practical) ni kuvutana daily kati ya wanachuo na serikali?
 
Kama huna cheti toka tu tuingie wenye navyo,vyeti vyako vyote unatakiwa uwe navyo sasa cheti unakiacha kijijini unamwachia nani? Bibi yako ama mjomba ako?
Kila mmoja apate haki yake,kuna dada mmoja alitumiaga cheti cha dada yake kwenda kusoma ualimu....namwona saivu amepungua ghafla
Na utachoma sana mahindi kwa akili zako hizo eti naweweee unataka uajiliwe ikiwa uoeo wa kufikilia tuu mambo mepesi kama haya unatema vumbi huko ajiran c utatema topee
 
Yaani mtumishi wa umma yuko kwenye harakati za kuhamia Dodoma halafu hapo hapo anaambiwa awasilishe Cheti cha Shule ya Msingi iliyoko vijijini kwa ajili ya uhakiki. Shule hiyo sasa imegawanywa Shule tatu na ile Ofisi ya Mwalimu Mkuu enzi hizo ilishavunjwa. Anafanya jitihada za kukitafuta bila mafanikio. Mtumishi anaamua kurudi kazini bila cheti cha Shule ya msingi, lakini anaambiwa hajatimiza vigezo. Presha inampanda na hapo hapo Tangazo la kuhamia Dodoma na watumishi hewa linamhusu, kwa sababu yuko masomoni, na DED kaitisha attendance register kwenye kusanyiko la mbio za Mwenge.

Sasa sijui anaanzia wapi.
Magufuli na serikali yako kuweni na huruma.
TANZANIA YA VIWANDA NA UHAKIKI WA VYETI VYA SHULE YA MSINGI WAPI NA WAPI?!?!
Mlizoea ujanja ujanja tu
 
Mama Ndalichako kasema wahakiki wa vyeti wa shughulike na vyeti kuanzia kidato cha nne.
 
Wapotoshaji mna kazi ya ziada.....

Wapi serikali imesema inataka vyeti vya shule ya msingi??????

Tukosoe panapostahili, siasa zisisababishe tukakosa kuingia mbinguni kwa sisi wenye imani hiyo

Tuwe wakweli ili tusilaumiwe kwa doa lolote, walipokosea kiukweli tupaze sauti
 
Kazi bila motisha ni kazi bure.

Inajulikana hiyo

Sasa hawa motisha gani hawapati kuhama au kuhakikiwa vyeti...kama mtu anaona hakuna motisha hana furaha si anajua cha kufanya.

Watazoea tu sijui mtazoea

Na hapo ndio wengi wanaleta kiburi, hamjui wasemaje wamo nanyi mtu unajikuta huna lako hata hilo lisilo na motisha limechukuliwa.

Fanyeni kazi
 
Yaani mtumishi wa umma yuko kwenye harakati za kuhamia Dodoma halafu hapo hapo anaambiwa awasilishe Cheti cha Shule ya Msingi iliyoko vijijini kwa ajili ya uhakiki. Shule hiyo sasa imegawanywa Shule tatu na ile Ofisi ya Mwalimu Mkuu enzi hizo ilishavunjwa. Anafanya jitihada za kukitafuta bila mafanikio. Mtumishi anaamua kurudi kazini bila cheti cha Shule ya msingi, lakini anaambiwa hajatimiza vigezo. Presha inampanda na hapo hapo Tangazo la kuhamia Dodoma na watumishi hewa linamhusu, kwa sababu yuko masomoni, na DED kaitisha attendance register kwenye kusanyiko la mbio za Mwenge.

Sasa sijui anaanzia wapi.
Magufuli na serikali yako kuweni na huruma.
TANZANIA YA VIWANDA NA UHAKIKI WA VYETI VYA SHULE YA MSINGI WAPI NA WAPI?!?!
Endeleeni na ukuhadi wenu lakini kamwe, giza halitaishinda nuru.
 
Na bila kusahau kuwa nyongeza za mishahara kwa watumishi wa umma zimesitishwa.
 
Mimi nikisema kitambo hapa huyu Magumashi watu hawakuelewa.

Polepole sasa naona wanaelewa.

Na bado. Wataelewa tu.
 
Aisee hatujui kesho ataropoka nini, lazima tutafute njia ya kuzuia uropokaji wake, tusiache nchi yetu ichafuliwe na huyu mpenda sifa
 
Yaani mtumishi wa umma yuko kwenye harakati za kuhamia Dodoma halafu hapo hapo anaambiwa awasilishe Cheti cha Shule ya Msingi iliyoko vijijini kwa ajili ya uhakiki. Shule hiyo sasa imegawanywa Shule tatu na ile Ofisi ya Mwalimu Mkuu enzi hizo ilishavunjwa. Anafanya jitihada za kukitafuta bila mafanikio. Mtumishi anaamua kurudi kazini bila cheti cha Shule ya msingi, lakini anaambiwa hajatimiza vigezo. Presha inampanda na hapo hapo Tangazo la kuhamia Dodoma na watumishi hewa linamhusu, kwa sababu yuko masomoni, na DED kaitisha attendance register kwenye kusanyiko la mbio za Mwenge.

Sasa sijui anaanzia wapi.
Magufuli na serikali yako kuweni na huruma.
TANZANIA YA VIWANDA NA UHAKIKI WA VYETI VYA SHULE YA MSINGI WAPI NA WAPI?!?!
Motivation ikishuka hata huo utendaji hatutauona kweli
 
Mimi nasubiri miaka 2 nitimize 55 Nitastaafu kwa hiari. PSPf please jiandae kulipa pensheni zetu. Sitaki kutumbuliwa nikose pensheni yangu.
 
Matokeo ya kupuuzapuuza mambo ya msingi kimaisha, tanzania inaamka sasa
 
Mimi nasubiri miaka 2 nitimize 55 Nitastaafu kwa hiari. PSPf please jiandae kulipa pensheni zetu. Sitaki kutumbuliwa nikose pensheni yangu.
Staafu tu mkuu! Anzisha banda la Chips uone fursa uliyokosa kwa miaka yote ya Utumishi.
Kibanda cha Chips kinalipa kuliko kutumikishwa Serikalini.
 
Vyeti vyako vyote uliko soma, barua ya kuajiriwa kazi, barua ya kuthibitishwa kazini, barua ya kupandishwa cheo, barua ya kuthibitishwa cheo, barua ya increment ya mshahara, cheti cha kuzaliwa, cheti cha ndoa, vyeti kuzaliwa vya wanao dah! Mlolongo ni mrefu.
Mtapatikana tu huko kajificheni
 
Back
Top Bottom