Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,712
- 1,906
Msamehe bure aliodhani anawafurahisha wamengeuka, atajifunza polepole.Lakini huyu jamaa ni jembe, atafanyiwa engraving kidogo kidogo, jamaa zake hawajui umuhimu wake sisi tunampokea!!!!!!!!!!!!sisi wenyewe tulihamia chadema na kufanikiwa kutwaa jimbo la ubungo kupinga ukandamizaji aliotufanyia magufuli mwaka 2001 kwa kutupandia mawe na mabango yanayoonyesha mwisho wa hifadhi ya barabara mita 120 kutoka katikati ya barabara kati ya ubugno hadi kiruvia badala ya mita 22 ambao ndio upana unaotamkwa na sheria.hivyo huyu sio mtetezi wa wanyonge hata kidogo