mhimidinhothedon
Member
- Jan 5, 2014
- 69
- 22
Gharama zitakazotumika ni 100bil, mkopo wa "masharti nafuu" kutoka serikali ya Korea, hivi hayo masharti ni siri ya nani na nani? Halafu kamradi kama hako ni kweli serikali imeshimdwa kukafinance mpaka wakope kwa wahisani??
Mkuu daraja Litaanzia maeneo ya coco beach hadi mataa ya agha khan. Mia
Agakhan hadi Oysterbay ni 1.2kms kwa kunyoosha moja kwa moja. ukisema uendelee hadi coco hazizidi 3 kms.Ukisoma maelezo wamesema kutakuw ana barabara mpya yenye km 7.2,ukitazama picha inaonesha barabara na sehemu ya kukatiza majini, hapo hakuna kina kirefu wala umbali mrefu, ni kama km 1 tu,na kwenda chini pale hakuzidi m30,hii ni kazi nyepesi sana.
Miaka ya nyuma walitakakupajaza udongo hapo wajenge waterfront, ule mradi sijui umeishia wapi.
Wadau haya ni maendeleo japo ni kwa taratiiiibu lakini safari bado inaendelea.
Ni kweli maendeleo ila wanayataratibusha sana, after 50 years?Yaani nusu karne.
Mkuu naomba nifafanulie hapo kwenye nyekundu, ila mimi nachukia saana misaada na nafikri kuwa hii nchi inaendesheka bila misaada.Renegade:
Unajua wanao taratibisha siyo wao ni upeo wa fikra za maendeleo to future days kwa wakati wao ndipo wanadhani na kuona wamechelewa sasa wakija kwenye bajeti kwa vitu kama hivo ndo wanakuta wamechelewa na kukimbilia kuomba misaada.
Kwani ili jipya lenyewe ni msaada kutoka serikali ya korea.
Mkuu naomba nifafanulie hapo kwenye nyekundu, ila mimi nachukia saana misaada na nafikri kuwa hii nchi inaendesheka bila misaada.
Sijaona litasaidia vipi.., kwani Ardhi imeisha?!