- Thread starter
- #21
Mkuu Jensen salamone...mimi nilihitaji hata transcript tu ambazo niliambiwa huwa tayari baada ya matokeo lakini nazungushwa.Punguza temper kijana cheti chako kipo tu as long as umefanya mitihani yako na kufaulu vizuri. UDSM ni chuo kikubwa, mambo yote yanafanyika kwa utaratibu. Kuwa na subira usiwe na papara hata wenzenu waliomaliza mwaka jana vyeti vyao walianza kuchukua mwaka huu mwezi wa pili
Najua udsm ni chuo kikubwa lakini wanakiendesha ndivyo sivyo, mbona vyuo vingine wamepewa wiki moja baada ya mahafali? Tuseme wao wameshindwq nni?
Kufanya kazi kwa mazoea vibaya sana mkuu...sasa mtaani zikitokea fursa za ajira tutawezaje kuapply bila kuwa na vyeti? Su fursa huja baada ya udsm kutoa vyeti mwezi wa pili?