kichwabox
Senior Member
- Feb 14, 2016
- 152
- 40
mh.rais uwanja wa uajili ni jipu tunakuomba utoe tamko vijana wako wa pccb ambao sasa wana meno makali watie njuga kuona kuna nini,maana watu wanaandaliwa mapema watu tunachoma nauli zetu bure gharama hazirudishwi kheri utoe tamko mtu akiitwa interview anarudishiwa gharama ndio itakuwa mwisho wa kuandaa watu,ni hilo tu sijui wanajamvi mna yapi,karibuni