Magufuli Tumbua jipu la TwigaBancorp limeiva

MSHAURI_WA_NCHI

Senior Member
Nov 10, 2015
139
73
CEO wa twigabancorp anatuhuma kuu tatu:
1. Kupendelea watumishi wa kabila lake kwa kuwapa madara makubwa kama branch managers na wahasibu wa matawi ya bank.

2. Kulipwa mshahara mkubwa Mara 10 zqidi ya maofisa wake.

3. Kujikopesha v8 mpya kwa kulipiwa kodi na bank.

4. Kufanya kazi kwa majungu na kudemoralize watumishi na kupelekea wengi wao kuacha kazi.

Jipu hili litumbuliwe.
 
kwa haya uloandika nadhani wewe ndo wa kwanza kuanza kutumbuliwa...
hebu tueleze tusioelewa magufuli anahusika nini na twiga bancorp mfano?
 
Pole we tambaa tafuta kwingine ukimngoja magu utaota mvi hapohapo shukuru Mungu una elimu itakusaidia popote pale maisha mafupi sana
 
Hii benki ni ya UMMA lakini uongozi wake kwa muda mrefu umekuwa sio makini ; sababu moja wapo ni kuwa na board of directors dhaifu walioteuliwa enzi ya Kikwete kwa vigezo vya kujuana. Kama serikali inataka kuifufua ni lazima iwe recapitalized [ iongezewe mtaji] halafu menejimenti ibadilishwe na board pamoja na mwenyekiti wake wawe watu wenye weledi!!
 
Back
Top Bottom