Pius J Kabelege ni jipu pekee lililobaki shirika la reli Tanzania rais Magufuli okoa wanyonge

kingkimwe

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
1,837
2,474
Asalam alykum wanajamvi,

Huyu bwana ni Chief of Manpower Development and Administration ama kwa lugha nyepes ni afisa raslimali watu na maendeleo ya wafanyakazi ,nitaelezea mambo ya uyu bwana kwa miaka takribani kumi nliyofanya nae kazi kwanza uyu bwana ni mdini ,mkabila, mpenda rushwa na nimndugulization sana (nepotism)

Elimu yake ni yakawaida tu diploma lkn sijui ilikuaje mpk kufikia kuupata huo uchief ingali watu wenye elimu nzuri na uwezo wa kufanya kazi wakiwekwa kando uyu ndg amekua akitunyima sana haki wafanyakazi tusio wa mlengo wake hasa ayo mambo nliyosema apo juu kiukweli uyu bwana nikibur na jeur sana anamajibu ya dharau sana uku akijinasibu kua hatuna cha kumfanya kwakua yeye ni usalama wa taifa dah sijui hao usalama wa taifa majukum yao uwa ni yapi ka ndo hayo mmmmhhh

Uyu bwana mkubwa amefanya vitu kustaajibisha sana vya kuangamiza shirika na wafanyakazi mpk nimeona niujuze umma na taarifa zinaweza fika sehem husika na uchunguzi ukafanyika na jibu litumbuliwe.

Mosi uyu bwana alijipa tenda ya kuiendesha shule ya msingi ya reli iliyopo ITIGI ambayo watoto wa wafanyakazi waliopo mapolini ama kwny vituo vya kazi ambao shule zipo mbali uwa wanakusanywa na kwenda kusoma pale mbali na jinsi alivyopata iyo tenda yaan kinyume na sheria za tenda na manunuzi ya mwaka 2004 yeye kama mfanyakazi wa link ya juu kabisa hakupaswa kushiriki (conflict of interest) lkn naweza sema alijipa na kutoa huduma mbaya sana kwa watoto kulala kwny kunguni ,maji shida,mlo usio na kiwango tena washidashida uku yeye akiendelea kuchukua tu fedha katika shirika.

Pili kucheza dili na baadhi ya watumishi wasio waadilifu yaan anawasimamisha kazi kwa makosa ya kimagumashi na kes inakwenda mpk mahakamani af wale watumishi wanashinda kesi na kulipwa af uyu bwana mkubwa anagawana nao kwa mzoefu wa reli ataungana nami juu ya hil kumekua na kes nyingi sana katika mia shirika inashinda tano the rest wanashinda wafanyakaz kumbe kwa stahili iyo

Pia uyu bwana aliendelea kulipiga sana shirika kwa kushirikia na rafiki ake ambae kwa sasa ni mbunge wa tabora mjini bwana MWAKASAKA Kwa kujifanya kila tenda ya vifaa vya shirika anasupply MWAKASAKA nyuma yake yupo uyu bwana KABELEGE ambae ndo alikua akimuwezesha kupata izo tenda

Kwa uyu bwana mfanyakazi ukijiendeleza Kusoma kisha uombe kufanyiwa
CATEGORIZATION kama sio mdini wake mkabila ama hauna rushwa bas hauna haki kabisa ,ukiomba nafas ya kwenda kusoma pia ni shida jamani kuna watu wa system umu tusaidieni uyu mtu anaturudisha nyuma sana jamani

Kali iliyo niacha hoi ni kumpa ajira mama wa miaka 57 ambae ni mke wa kaimu mkurugenzi (mdini na mkabila mkuu) bwana MSHANA tena kwa link ya mshahara wa mtu wa degree wakati yule mama ata diploma hana jamani iko wapi profesionalism ya uyu bwana PIUS KABELEGE

Uyu bwana amekua akitoa madaraja ama grade kwa mjuano sana ka hakujui na hauendi ofisini kwake kujipendekeza sahau kabisa, Mh Rais uyu tuondolee ka ulivyotuondolea wale wakurugenzi na mainjia wezi uyu nae ni yaleyale na ukimchunguza sana nae mahakama inamhusu.

Uyu bwana anamajiganba sana na maji ya hovyo sana kwa watumishi na vitisho kua yeye ni usalam wa taifa sjui ata kama ni kweli huo ndo weledi jamani shirika pekee ambalo kupata haki zako mpk uende kwa mganga ukasafishe nyota looh!
 
Confirict of interest= conflict of interest
Mapolini = maporini
Uwa =huwa


Hapo kwenye tenda ...ina maana hakuna kite go cha ugavi, wala tender board?

Kila nafasi ya kwenda kusoma lazina mtu apate?
Mna mpango wa mafunzo? Unafuatwa????

Recategolization anaamua tu kufanya au anashirikiana na idara husika?????

Wakati anatoa hizo ajira mkurugenzi mkuu anakuwa wapi?
Reli hamna bodi?
Hawapitii hizi ajira

Reli hakuna wakaguzi wa nje na ndani? Hawakagui kuona haya mapungufu???

Inakuwaje mtu mmoja anafanya yote haya (kama uliyoyaandika ni kweli) as if shirika halina viongozi??? Unless mlizidiana ujanja
 
Confirict of interest= conflict of interest
Mapolini = maporini
Uwa =huwa


Hapo kwenye tenda ...ina maana hakuna kite go cha ugavi, wala tender board?

Kila nafasi ya kwenda kusoma lazina mtu apate?
Mna mpango wa mafunzo? Unafuatwa????

Recategolization anaamua tu kufanya au anashirikiana na idara husika?????

Wakati anatoa hizo ajira mkurugenzi mkuu anakuwa wapi?
Reli hamna bodi?
Hawapitii hizi ajira

Reli hakuna wakaguzi wa nje na ndani? Hawakagui kuona haya mapungufu???

Inakuwaje mtu mmoja anafanya yote haya (kama uliyoyaandika ni kweli) as if shirika halina viongozi??? Unless mlizidiana ujanja
mkuu yaan shirika lilijaa wapiga dili kuanzia juu mpka chini bodi ilikua ka pambo
*ebu shangaa iyo tender board inampa tenda mfanyakaz tena nafikiri nikinyume na sheria kbsa mfanyakaz kushiriki
*si lazima kila mtu kwenda kusoma lkn kwann wanakua ni watu flani tu yan mpk watu wanaskia
*recategolization mkuu wa idara ana kuapprove kabisa kua unaweza kwenda idara nyingine lkn barua ikifika tu kwake na hakujui bas imebuma
*mkuu MD utakuta yeye anatoa tu kibari cha ajira sasa shughuli kwa uyu bwana mkubwa
*yaan mkuu umeuliza mambo yenye mantink sana ambayo ata yalikua yananiumiza kwa nn mtu mmoja ndo anakua na sauti na maamuz sana ata ukienda kwa MD inshu inayotoka kwa uyo chief hakuna msaada mpk nlipokuja gundua MD na uyo bwana lao ni moja ni wadini na wakabila sanaaaa ebu angalia apo mke wa MD wa miaka 57 kaajiliwa sijui ata mafao analipwaje mkuu.....
sina haja ya kuzusha we ka upo sehem ya mtandao wa reli ya kati uliza haya ka upo dar njoo ufanye research fupi ata ya nusu saaa usikie mkuu
 
Back
Top Bottom