- Thread starter
- #41
We unamsikiliza Lisu? Huyo sasa hivi anatukanwa na kila sane citizen. Najua imewauma sana kusikia kutakuwa na malipo watailipa Tz, sababu zile kelele zenu za Tz kuibiwa sijui shamba la bibi tunakwenda kuzizika. Na mikataba yote hadi ya gesi itapitiwa upya na kuwekwa win win situation if there was none.
Nyie sasa badala ya kumshangilia mpuuzi Lisu, mjifunze kutoka kwa Magufuli na mrekebishe mikataba yenu ya kinyonyaji kwenye migodi yenu, mnajifanyaga hamna rasilimali wakati tunajua mnazo na mnaibiwa.
Huyo jamaa yawezekana ametumwa na mwanasheria uchwara,hao ndiyo hata ukimuuliza analalamikia nini atakujibu hajui
Anapondwa na watanzania wote? Si ni nyie wana CCM damu wenye mlikuwa mkimponda tu wakati alikuwa akitoa tangazo hili kuhusu mikataba ya gesi? Wakati likuwa akilalamika hapa, pia alikuwa ametumwa na hao wakili?