Madenge Origino
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,847
- 1,096
Kutokana na kampeni zilizokwisha fanyika hadi hivi sana ktka mikoa 10 aliyozunguka Dr Magufuli imedhihirika wazi wanainchi wanainchi wanasubili kuapishwa kwake kutokana na uwezo wake binafsi alionao katika utendaji wa majukumu yake. Hata hivo wanainchi wengi wamekuwa wakijitokeza na kila anapopita wamekuwa wakimpapongeza zaidi kwa kuchaguliwa kwake kuwa rais mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na wengine wakisema wanamfahamu hata asipozunguka uwezo wake kujenga hoja, kusimamia kazi na hata kuwa karibu na jamii hata mtoto mdogo analifahamu hilo.
Hongera sana Dr John Pombe Magufuli kwa KUCHAGULIWA KWAKO NA WANAINCHI KUWA RAIS WA AWAMU YA TANO.
Lowasa ndio rais wetu watanzania tumeshaamua kumpa nchi
Tupe dalili na ushuhda......!!
Tuliza kipago wewe dawa ikuingie, tar 25 Oct. Si mbali
Tuliza kipago wewe dawa ikuingie, tar 25 Oct. Si mbali
Katika familiar yako kuna mtu kaenda shule kweli?
Swissme
halafu hako kamsemo kwa dawa ikuingia naoana mnakatumia sana au ndio mlivokaririshwa lumumba? hahahaa
Kwa wale ambao hamjui na wala hamjitambui, Dr pombe Jon magufuli ndie Rais wa JMT. Mark my words 39days remains
Huyu Dr. Kidevu ni winner wa vitoto vya kike alivyovizawadia kazi katika mashirika, wakara, taasisi na idara nyingi za wizara alizoongoza.
kidevu atapigwa chini japo ni mtendaji mzuri ila tumechoka na CCM
kwa nini anatembea na lundo la wasanii kwenye kampeni zake?? tunaomba ufafanuzi maana wananchi wanataka sera na si mabonanza.