Magufuli ni Rais wa aina gani?

Kumbe wabongo hawajasahau ishu ya kagera na maajanga ya Mv Nyerere
Ukiona hivi mtu anaweka maumivu yake moyoni
Ni sawa na mwizi anakimbizwa kimya kimya bila kupigiwa mwanu,akishikwa hapo kichapo chake ni kifo tu
Kweli 2020 kazi ipo‍♂️
 
Majanga yaliyoikuta Tanzania nchi yake hususani Bukoba na ajali ya MV Nyerere,Rais wetu hakuonyesha kuguswa na matatizo hayo na badala yake alitamka hivi.

"Serikali haijaleta tetemeko Kwa hiyo tetemekeni kujenga nyumba zenu "
Baada ya kauli hiyo michango yote ya wahanga ikaishia mikonomi mwa Serikali.

Na hata MV Nyerere michango pia iliishia mikononi mwa serikali na ikaamriwa itumike kujenga zahanati badala ya kuwafikia walengwa.

Siku hazigandi Jirani zetu yamewakuta matatizo na serikali imepeleka misaada bila masimango yoyote.

Ni vyema Rais Magufuli afahamu kwamba yeye si Rais wa Malawi, Zimbabwe wala Msumbiji, ni Rais wetu watanzania aliotusimanga kuwa tusipolima tutakufa njaa wakati akijua kuwa serikali haimlishi mtu ila ina wajibu wa kusaidia raia wake wakati wa shida.

2020 Tutampumzisha Magufuli kwenye sanduku la kura.

Nawaona wafuasi wa CCM wakija hapa Kwa hasira sana ,karibuni Vijana nahitaji mapovu yenu nidekie ofisi za ufipa.

Tulikosea kumpa Tanganyika. Jiwe maji havuki, hivyo si Rais wa JMT. Lakini 2020 tunakwenda na LISSU. Anakubalika hata Zenji.
 
Majanga yaliyoikuta Tanzania nchi yake hususani Bukoba na ajali ya MV Nyerere,Rais wetu hakuonyesha kuguswa na matatizo hayo na badala yake alitamka hivi.

"Serikali haijaleta tetemeko Kwa hiyo tetemekeni kujenga nyumba zenu "
Baada ya kauli hiyo michango yote ya wahanga ikaishia mikonomi mwa Serikali.

Na hata MV Nyerere michango pia iliishia mikononi mwa serikali na ikaamriwa itumike kujenga zahanati badala ya kuwafikia walengwa.

Siku hazigandi Jirani zetu yamewakuta matatizo na serikali imepeleka misaada bila masimango yoyote.

Ni vyema Rais Magufuli afahamu kwamba yeye si Rais wa Malawi, Zimbabwe wala Msumbiji, ni Rais wetu watanzania aliotusimanga kuwa tusipolima tutakufa njaa wakati akijua kuwa serikali haimlishi mtu ila ina wajibu wa kusaidia raia wake wakati wa shida.

2020 Tutampumzisha Magufuli kwenye sanduku la kura.

Nawaona wafuasi wa CCM wakija hapa Kwa hasira sana ,karibuni Vijana nahitaji mapovu yenu nidekie ofisi za ufipa.

Huwezi jua Mkuu yawezekana na hao Marais wa hizo nchi nao pia huwa wanasaidia sana Kuleta bure Dawa za Kupunguza Makali ya UKIMWI ( ARV's ) nchini Tanzania ( nchi Rafiki ) na Kuwasaidia na wale Watu wenye matatizo ya Moyo bila Kusahau na hata Tezi Dume vile vile. Naomba niishie hapa tafadhali.
 
Unaweza kupata picha familia ya Jiwe wanaishi vipi.

Kuna aina fulani ya watu ambao hupendi kuonekana wema kwa watu wa nje ambao hawana ukaribu nao wakati huo huo familia zao zikiwa zinataabika. Jiwe anaangukia kwenye kundi la watu wa aina hiyo i.e wapenda sifa na wapenda kuonekana.
 
Rais wa Kosovo ana roho chafu roho mbaya destructive energy by nature utadhani akuzaliwa na mwanamke, shida imeanzia kwenye malezi duni, mwanamke yeyeto akiteleza kwenye malezi mtoto akiwa mkubwa ugeuka laana na si BARAKA kwa watu wake
 
Nuangana na wewe kwa asilimia mia ya mia malezi ni kila kitu . Nadhani hapa ndicho kikubwa malezi yake ni duni mno haswa kilichomsaidia ni ile alikuwa na uwezo darasani hana tofauti na wale watoto wanaotoroka darasani yaani watukutu lakini ikija mitihani lazima afaulu
 
Unaweza kupata picha familia ya Jiwe wanaishi vipi.

Kuna aina fulani ya watu ambao hupendi kuonekana wema kwa watu wa nje ambao hawana ukaribu nao wakati huo huo familia zao zikiwa zinataabika. Jiwe anaangukia kwenye kundi la watu wa aina hiyo i.e wapenda sifa na wapenda kuonekana.

Kabisa sitashangaa kwenda kwake ukakuta harage limesimama dede kama mlinzi wa CT kwenye kituo cha mwendo kasi, halina hata nazi wala carrot na halina tofauti na lile la magereza ya Segerea
 
Kuna mlio fulani ulilia kwenye kipindi cha Rais Mkapa mwaka 1999 mwezi Oktoba sikumbuki tarehe
 
Majanga yaliyoikuta Tanzania nchi yake hususani Bukoba na ajali ya MV Nyerere,Rais wetu hakuonyesha kuguswa na matatizo hayo na badala yake alitamka hivi.

"Serikali haijaleta tetemeko Kwa hiyo tetemekeni kujenga nyumba zenu "
Baada ya kauli hiyo michango yote ya wahanga ikaishia mikonomi mwa Serikali.

Na hata MV Nyerere michango pia iliishia mikononi mwa serikali na ikaamriwa itumike kujenga zahanati badala ya kuwafikia walengwa.

Siku hazigandi Jirani zetu yamewakuta matatizo na serikali imepeleka misaada bila masimango yoyote.

Ni vyema Rais Magufuli afahamu kwamba yeye si Rais wa Malawi, Zimbabwe wala Msumbiji, ni Rais wetu watanzania aliotusimanga kuwa tusipolima tutakufa njaa wakati akijua kuwa serikali haimlishi mtu ila ina wajibu wa kusaidia raia wake wakati wa shida.

2020 Tutampumzisha Magufuli kwenye sanduku la kura.

Nawaona wafuasi wa CCM wakija hapa Kwa hasira sana ,karibuni Vijana nahitaji mapovu yenu nidekie ofisi za ufipa.
Kwetu nyegezi
IMG-20190322-WA0020.jpeg

Jr
 
Mayalla, hebu tuongelee huu uzi hapa, tulipopatwa na majanga alichokifanya kwetu, walipopatwa na majanga alichokifanya kwao.... NI SAHIHI KAMA KIONGOZI?
Ni sahihi kabisa, kwa sababu imekuwa ni mazoea ya kudharau chako na kuthamini cha mwenzio.

Hata Ben Mkapa hakuwahi kufanya interview za one-2-one na waandishi wetu, au kwenye media zetu, lakini akienda huko nje, one-2-one za kumwaga na media za nje.

Hata kwenye nyumba zetu, watu wanamaliza mabucha bure tuu ili kubadili mboga lakini kumbe hawajui kuwa nyama bado ni ile ile, tofauti ni mapishi tuu, mchemsho, rosti, kukaanga, kuchoma, mapende, mishikaki, etc, lakini nyama ni ile ile, hivyo natoa wito wa kuthamini chako, penda chako usijihangaishe Utamaliza mabucha, nyama ni ile ile.
P
 
Majanga yaliyoikuta Tanzania nchi yake hususani Bukoba na ajali ya MV Nyerere,Rais wetu hakuonyesha kuguswa na matatizo hayo na badala yake alitamka hivi.

"Serikali haijaleta tetemeko Kwa hiyo tetemekeni kujenga nyumba zenu " Baada ya kauli hiyo michango yote ya wahanga ikaishia mikonomi mwa Serikali.

Na hata MV Nyerere michango pia iliishia mikononi mwa serikali na ikaamriwa itumike kujenga zahanati badala ya kuwafikia walengwa.

Siku hazigandi Jirani zetu yamewakuta matatizo na serikali imepeleka misaada bila masimango yoyote.

Ni vyema Rais Magufuli afahamu kwamba yeye si Rais wa Malawi, Zimbabwe wala Msumbiji, ni Rais wetu watanzania aliotusimanga kuwa tusipolima tutakufa njaa wakati akijua kuwa serikali haimlishi mtu ila ina wajibu wa kusaidia raia wake wakati wa shida.

2020 Tutampumzisha Magufuli kwenye sanduku la kura.
1553258117522.png
 
Ni sahihi kabisa, kwa sababu imekuwa ni mazoea ya kudharau chako na kuthamini cha mwenzio.

Hata Ben Mkapa hakuwahi kufanya interview za one-2-one na waandishi wetu, au kwenye media zetu, lakini akienda huko nje, one-2-one za kumwaga na media za nje.

Hata kwenye nyumba zetu, watu wanamaliza mabucha kubadili mboga lakini nyama ni ile ile.
P
hili la kwenye nyumba zetu ni afadhali kwakuwa athari ikitokea ni yako wewe na familia yako.
1553258250396.png
 
Back
Top Bottom