Magufuli ni Rais wa aina gani?

My Son drink water

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
4,932
13,283
Majanga yaliyoikuta Tanzania nchi yake hususani Bukoba na ajali ya MV Nyerere,Rais wetu hakuonyesha kuguswa na matatizo hayo na badala yake alitamka hivi.

"Serikali haijaleta tetemeko Kwa hiyo tetemekeni kujenga nyumba zenu " Baada ya kauli hiyo michango yote ya wahanga ikaishia mikonomi mwa Serikali.

Na hata MV Nyerere michango pia iliishia mikononi mwa serikali na ikaamriwa itumike kujenga zahanati badala ya kuwafikia walengwa.

Siku hazigandi Jirani zetu yamewakuta matatizo na serikali imepeleka misaada bila masimango yoyote.

Ni vyema Rais Magufuli afahamu kwamba yeye si Rais wa Malawi, Zimbabwe wala Msumbiji, ni Rais wetu watanzania aliotusimanga kuwa tusipolima tutakufa njaa wakati akijua kuwa serikali haimlishi mtu ila ina wajibu wa kusaidia raia wake wakati wa shida.

2020 Tutampumzisha Magufuli kwenye sanduku la kura.
 
Majanga yaliyoikuta Tanzania nchi yake hususani Bukoba na ajali ya MV Nyerere,Rais wetu hakuonyesha kuguswa na matatizo hayo na badala yake alitamka hivi.
"Serikali haijaleta tetemeko Kwa hiyo tetemekeni kujenga nyumba zenu "
Baada ya kauli hiyo michango yote ya wahanga ikaishia mikonomi mwa serikali.
Na hata MV Nyerere michango pia iliishia mikononi mwa serikali na ikaamriwa itumike kujenga zahanati badala ya kuwafikia walengwa.
Siku hazigandi Jirani zetu yamewakuta matatizo na serikali imepeleka misaada bila masimango yoyote.
Ni vyema Rais Magufuli afahamu kwamba yeye si Rais wa Malawi, Zimbabwe wala Msumbiji, ni Rais wetu watanzania aliotusimanga kuwa tusipolima tutakufa njaa wakati akijua kuwa serikali haimlishi mtu ila ina wajibu wa kusaidia raia wake wakati wa shida.
2020 Tutampumzisha Magufuli kwenye sanduku la kura.
Nawaona wafuasi wa CCM wakija hapa Kwa hasira sana ,karibuni Vijana nahitaji mapovu yenu nidekie ofisi za ufipa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Rais kauli ana kauli za kunyongonyesha wanyonge huu ni ukweli ulio uchi
Kwa hili LA Leo nalifananisha kusomesha mtoto wa jirani English medium na wako yupo kayumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pascal hapo namba mbili hebu muogopeni mwenyezi Mungu hivi huyu Magufuri anaweza kufanana na Nyerere kwa kipi hasa ,wewe ni MTU mzima Nyerere unamjua hebu tuambie mbona Magufuri na Nyerere ni mbingu na ardhi .
Mkuu Kumbuka pasco ni verified user akisema Magu hafanani na Nyerere na ana Uwezo mdogo wa kuongoza, atatekwa na kupotezwa Kama Azori Gwanda na Ben Saanane, mwacheni pasco awe fala familia yake bado inamuhitaji mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majanga yaliyoikuta Tanzania nchi yake hususani Bukoba na ajali ya MV Nyerere,Rais wetu hakuonyesha kuguswa na matatizo hayo na badala yake alitamka hivi.

"Serikali haijaleta tetemeko Kwa hiyo tetemekeni kujenga nyumba zenu "
Baada ya kauli hiyo michango yote ya wahanga ikaishia mikonomi mwa Serikali.

Na hata MV Nyerere michango pia iliishia mikononi mwa serikali na ikaamriwa itumike kujenga zahanati badala ya kuwafikia walengwa.

Siku hazigandi Jirani zetu yamewakuta matatizo na serikali imepeleka misaada bila masimango yoyote.

Ni vyema Rais Magufuli afahamu kwamba yeye si Rais wa Malawi, Zimbabwe wala Msumbiji, ni Rais wetu watanzania aliotusimanga kuwa tusipolima tutakufa njaa wakati akijua kuwa serikali haimlishi mtu ila ina wajibu wa kusaidia raia wake wakati wa shida.

2020 Tutampumzisha Magufuli kwenye sanduku la kura.

Nawaona wafuasi wa CCM wakija hapa Kwa hasira sana ,karibuni Vijana nahitaji mapovu yenu nidekie ofisi za ufipa.

Ulipomalizia na Mambo ya Kura ndo nikajua Kumbe lukapuku fulani linaloandika kinyume nyuma badala ya mbele.
 
Back
Top Bottom