Magufuli ni muongo

Magufuli ni muongo

WAITARA

Member
Joined
Sep 23, 2013
Posts
68
Reaction score
37
Kwenye bajeti ya Mwaka 2014/2015 Waziri Magufuri akisoma bajeti hiyo alisema kwamba atajenga barabara ya Banana Kitunda,Kitunda Kivule na Kivule Msongola kwa kiwango cha lami.lakini hadi naandika hapa hakuna kilichofanyika na Ikonga kuna Mbunge Mwaiposa na Meya Jerry wamekaa kimya na sasa wanatoa rushwa wote wakitaka Ubunge.

Hata hivyo kwa kuwa njia hii imeharibika sana nasubiri mvua ili tuondoe mashimo na makorongo yote ila nawaomba wana Ukonga ikifika kwenye uchaguzi na wawili hao yupo miongoni mwa wagombea kumbuka kuwaadhibu kwa mateso haya makubwa.Toa adhabu kwa Ccm na washirika wao.
 
= Magufuli

Punguani wahed.
 
Ccm mtazidi kuongea wenyewe njiani na jua kifo cha nyani miti yote uteleza
 
= Magufuli

Punguani wahed.

Faizal umeboa! Ni kejeli kwa sio kwa aliyepost Bali Watu wote wa maeneo yaliyotajwa.

Mleta post: Akili ya wanaotuongoza sasa (CCM + SERIKALI Yake) IMEGOTA - imefikia mwisho. Hakuna jipya la maana tena wanaloweza kufanya hata wakipewa miaka 100 mingine. Akili ya Kila mmoja Wao Iko sehemu moja tu: namna ya KUIIBIA NCHI tu. Kwa hiyo Kila kiongozi anafikiri namna ya kuiba tu.... Full Stop.

WE NEED TO UPROOT ENTIRE SYSTEM!
 
Ninavyo mjua magufuri kwa uchapa kazi wake nadhani lipo tatizo, ushauri wangu kama wewe ni mkazi wa uko nenda wizara ya ujenzi au TANROAD watakupa majibu ya msingi.
 
Maneno mepesi kama haya hanaweza mumchafua Maghufuli kweli?
 
Ninavyo mjua magufuri kwa uchapa kazi wake nadhani lipo tatizo, ushauri wangu kama wewe ni mkazi wa uko nenda wizara ya ujenzi au TANROAD watakupa majibu ya msingi.
Huyu mleta mada sidhani kama anajua watu wanavyomfagilia Maghufuli. Anadhani anaweza kumchafua kirahisi hivyo.
 
Faizal umeboa! Ni kejeli kwa sio kwa aliyepost Bali Watu wote wa maeneo yaliyotajwa.

Mleta post: Akili ya wanaotuongoza sasa (CCM + SERIKALI Yake) IMEGOTA - imefikia mwisho. Hakuna jipya la maana tena wanaloweza kufanya hata wakipewa miaka 100 mingine. Akili ya Kila mmoja Wao Iko sehemu moja tu: namna ya KUIIBIA NCHI tu. Kwa hiyo Kila kiongozi anafikiri namna ya kuiba tu.... Full Stop.

WE NEED TO UPROOT ENTIRE SYSTEM!
Hizi hoja mbofumbofu naziona kama zilipendwa katika kuidhibiti CCM. nyie dawa yenu ndogo tu ZITTO KABWE, kishawakamata subirini tu Bunge livunjwe ndo mtajua habari yenu. Tena safari hii CCM haitumii nguvu kabisa.
 
Magufuli Mchapakazi.... Mtakalia kukariri hivyo!!! Si angekuwa amekwishachapa kazi tayari au amekwishasema sababu ya kushindwa kuchapa kazi? Afuatwe ofisini au yeye aje? Ama kweli serikali ni Boss wa wananchi!!!
 
= Magufuli

Punguani wahed.

Akili ya ki ccm. Yaani katika hoja nzima umeona hapo tu.

Hahahhahahahahahha FaizaFoxy

Unajifanya kumjua vema huyo magufuli?

Faizal umeboa! Ni kejeli kwa sio kwa aliyepost Bali Watu wote wa maeneo yaliyotajwa.

Mleta post: Akili ya wanaotuongoza sasa (CCM + SERIKALI Yake) IMEGOTA - imefikia mwisho. Hakuna jipya la maana tena wanaloweza kufanya hata wakipewa miaka 100 mingine. Akili ya Kila mmoja Wao Iko sehemu moja tu: namna ya KUIIBIA NCHI tu. Kwa hiyo Kila kiongozi anafikiri namna ya kuiba tu.... Full Stop.

WE NEED TO UPROOT ENTIRE SYSTEM!
Yani huyu demu FaizaFoxy anavyotupeleka mbio humu ndani khaaaa!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hizi hoja mbofumbofu naziona kama zilipendwa katika kuidhibiti CCM. nyie dawa yenu ndogo tu ZITTO KABWE, kishawakamata subirini tu Bunge livunjwe ndo mtajua habari yenu. Tena safari hii CCM haitumii nguvu kabisa.

Itatumiaje nguvu wakati ishakufa?
 
Faizal umeboa! Ni kejeli kwa sio kwa aliyepost Bali Watu wote wa maeneo yaliyotajwa.

Mleta post: Akili ya wanaotuongoza sasa (CCM + SERIKALI Yake) IMEGOTA - imefikia mwisho. Hakuna jipya la maana tena wanaloweza kufanya hata wakipewa miaka 100 mingine. Akili ya Kila mmoja Wao Iko sehemu moja tu: namna ya KUIIBIA NCHI tu. Kwa hiyo Kila kiongozi anafikiri namna ya kuiba tu.... Full Stop.

WE NEED TO UPROOT ENTIRE SYSTEM!

Tumpe nani?

Anaejikopesha fedha za chama?
 
Back
Top Bottom