Njaa ya asubuhi.Dr Magufuli ni kama mungu mdogo yaani kwenye psychology wanasema ni miniature God mana tamko lake linanguvu Alitamka kuwa Madawati yametengenezwa kwa mda mfupi, No ongezeko la Mishahara imewezekana pamoja na kuwa kila Mfanyakazi wa Umma hujaza mkataba ambao hutamka yakuwa kila July kutakuwa na ongezeko la mshahara yaani ( Increments) ila yeye kavunja huo mkataba Je kunamahari anaweza kushitakiwa nani wakili mzuri tum SUE Magufuli...?
Rais hatoshitakiwa kwa makosa atakayofanya akiwa madarakani. Ni ibara hiyoBasis ashitakiwe na wafanyakazi kwa kuvunja mikataba yao kwa kuzuia ongezeko la mishahara ambalo lipo kisheria na mikataba ipo
Kutoka kwenye urais mpk kwenye umungu duh! sijui nani ni shetani sasa..!?
Tuvuke mara ngapi..........Mbona tayariANGALIENI TUSIVUKE MIPAKA JAMANI.
Barikiwa sanaa mtumishi kwa maneno yenye utukufukwake upo mkono wa mwili; ila kwetu yupo Bwana, Mungu wetu, kutusaidia, na kutupigania mapigano yetu. Na watu wakayategemea maneno ya Hezekia, mfalme wa Yuda. 2 Mambo ya Nyakati 32:8
Idd Amin alitoa agizo kwa wahindi waondoke uganda chini ya masaa 24 wakatekeleza. Je amin alikuwa mungu ?....Mungu aliyefia ugenini..!