Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 36,982
- 45,900
Wakosoaji wamekua wakija na hoja kua , tumepata rais dikteta kutokana na maamuzi na namna anavyoendesha serikali, nimejaribu kuangalia ni katika yapi, Rais amekua akilaumiwa, niliyoyaona akiyafanya mpaka sasa ni haya;
1. kupunguza matumizi yasiyo ya lazima.
2.kusimamia watumishi wa uma kutimiza wajibu wao ipasavyo.
3. kukusanya mapato ipasavyo.
4. kuondoa urasimu na kuongeza uwajibikaji.
5. Kuondoa au kusimamisha watumishi wazembe na wabadhirifu.
kama hayo yanamfanya magufuli kua dikteta : basi ni vyema kabisa kua na dikteta wa aina hiyo.