Mkuu anaweza kumkamata Kinana anapo safirisha meno ya tembo?Huyu jamaa kapitishwa na ccm bila kuwa na makundi.
Huyu jamaa yuko serious na anamaanisha ndio maana makapi wanahaha huku na huko kuhakikisha hapiti.
lakini ni mpango wa Mungu ndio unaotaka apewe rungu la kupambana na mafisadi na vibaka ambao wanajidanganya kwa kuhamia chadema.
Tusubiri kampeni zianze tusikie kuhusu hukumu ya mafisadi na vibaka!
Magufuli ni silent killer against vibaka ndani na nje ya ccm!
Huyu jamaa kapitishwa na ccm bila kuwa na makundi.

Mkuu nakubaliana nawewe Magufuli ni mtendaji. Je ataweza kufanya kazi nani ndani ya ccm unayemuona msafi? Ccm ya sasa imekamatwa nawafanyabiashara, wazee wamichakato, wezi wa pembe za ndovu, walioshindikana ktk dawa za kulevya. JK alipewa na publicly akatangazia umma kabisa kuwa ana list ya wauza unga wakubwa tz na nyingine anayo ya wauza pembe za ndovu, tena akasema naidadi yao kabisa sijui 35. Hivi inadhani alikuwa mwehu kuwaacha waendelee kutamba mtaani na asiagize washughulikiwe? Kwani alikuwa mwehu kuwaambia waliokwapua pesa EPA warudishe pesa hizo kimya kimya? Unaweza kumtofautisha vipi JK wakati anaingia Ikulu 2005 na Magufuli wa sasa? Watanzania nadhani walikuwa na 80+ imani na JK wakati anatinga ikulu. Tatizo mkuu ni system ya ccm ya sasa, system hii hii ndio ilimtoa machozi mwl, kwenye kikao alivokuwa na kawawa. My point is .... Magufuli is another JK of 2005!!
Mkuu...namuona Magufuli ni mtu mwenye bahati na upendo wa Mungu.hajaipata nafasi hii kwa kushawishi au kutumia mlungula.
Hana deni na wafanyabiashara kama Kampuni ya DUMA(WANAARUSHA WATANIELEWA)
Hakuwa chaguo la anayeondoka!
Walijitahidi kumdhoofisha lakini kila wizara aliyoenda alionekana na kusikika!
He is a silent killer!
Huyu jamaa kapitishwa na ccm bila kuwa na makundi.
Huyu jamaa yuko serious na anamaanisha ndio maana makapi wanahaha huku na huko kuhakikisha hapiti.
lakini ni mpango wa Mungu ndio unaotaka apewe rungu la kupambana na mafisadi na vibaka ambao wanajidanganya kwa kuhamia chadema.
Tusubiri kampeni zianze tusikie kuhusu hukumu ya mafisadi na vibaka!
Magufuli ni silent killer against vibaka ndani na nje ya ccm!
Mafisadi ninaowazungumzia ni wale wanaomkimbia sasa.hawa ndio walikuwa wanaoitafuna ccm na nchi kwa ujumla hata UKAWA waliwapigia keleleKwa jina lako tu unahitaji kujipima vizuri..Hukumu gani ya mafisadi wakati anazunguka kuwasifia na kuwashukuru??
Mafisadi atawashughulikia vipi wakati ndo kwanza anaahidi kuwasimamia na kuwatumikia..wamtume???
Mpango wa Mungu unatoka mfukoni mwa mwenyekiti??
Au unamaanisha ni mwenyekiti??
Mtakoma lini kumuabudu mwenyekiti??
Aaaargh badilikeni bwana,nchi siyo yenu.
Mafisadi ninaowazungumzia ni wale wanaomkimbia sasa.hawa ndio walikuwa wanaoitafuna ccm na nchi kwa ujumla hata UKAWA waliwapigia kelele
Yeye mwenyewe fisadi papa.Mafisadi wanamkimbia au kumkombatia??
Wengi wa mafisadi hawa wapo nyuma ya pazia la CCM mbona.
Na ana ahidi kuwatumikia wakimtuma.
Mbona haliongelei hili yeye mwenyewe??Magufuli haongelei kabisa hili suala la ufisadi au halioni??kama analiona kwa mini haongelei??anamuogopa nani??
Hapa kuna ukinzani wa fikra kwake naona..inawezekana anadhamira lakini hana uwezo,katolewa mfukoni na inabidi atulie kwenye huo mfuko.Hana ujanja.