Magufuli ndiye atakayewahukumu vibaka!

jingalao

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Messages
29,697
Points
2,000
jingalao

jingalao

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2011
29,697 2,000
Huyu jamaa kapitishwa na ccm bila kuwa na makundi.

Huyu jamaa yuko serious na anamaanisha ndio maana makapi wanahaha huku na huko kuhakikisha hapiti.

lakini ni mpango wa Mungu ndio unaotaka apewe rungu la kupambana na mafisadi na vibaka ambao wanajidanganya kwa kuhamia chadema.

Tusubiri kampeni zianze tusikie kuhusu hukumu ya mafisadi na vibaka!

Magufuli ni silent killer against vibaka ndani na nje ya ccm!
 
O

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2008
Messages
10,945
Points
1,225
O

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
Joined May 24, 2008
10,945 1,225
Magufuli huyu sio yule wa zamani... Magufuli huyu kashazukabwa koo na Mama Salma na Rizone... Utawala utakuwa ule ule, tena atakuwa weak vibaya sana manake haijui usalama wa Taifa na hakijui chama hivyo wakina Rizone na genge lake la Gotham watatumia huo mwanya kumtisha
 
N

Ninaweza

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2010
Messages
9,166
Points
2,000
N

Ninaweza

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2010
9,166 2,000
Huyu jamaa kapitishwa na ccm bila kuwa na makundi.

Huyu jamaa yuko serious na anamaanisha ndio maana makapi wanahaha huku na huko kuhakikisha hapiti.

lakini ni mpango wa Mungu ndio unaotaka apewe rungu la kupambana na mafisadi na vibaka ambao wanajidanganya kwa kuhamia chadema.

Tusubiri kampeni zianze tusikie kuhusu hukumu ya mafisadi na vibaka!

Magufuli ni silent killer against vibaka ndani na nje ya ccm!
Mkuu anaweza kumkamata Kinana anapo safirisha meno ya tembo?
 
ngoshombasa

ngoshombasa

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Messages
435
Points
225
ngoshombasa

ngoshombasa

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2008
435 225
Huyu jamaa kapitishwa na ccm bila kuwa na makundi.

Huyu jamaa yuko serious na anamaanisha ndio maana makapi wanahaha huku na huko kuhakikisha hapiti.

lakini ni mpango wa Mungu ndio unaotaka apewe rungu la kupambana na mafisadi na vibaka ambao wanajidanganya kwa kuhamia chadema.

Tusubiri kampeni zianze tusikie kuhusu hukumu ya mafisadi na vibaka!

Magufuli ni silent killer against vibaka ndani na nje ya ccm!
Mkuu nakubaliana nawewe Magufuli ni mtendaji. Je ataweza kufanya kazi nani ndani ya ccm unayemuona msafi? Ccm ya sasa imekamatwa nawafanyabiashara, wazee wamichakato, wezi wa pembe za ndovu, walioshindikana ktk dawa za kulevya. JK alipewa na publicly akatangazia umma kabisa kuwa ana list ya wauza unga wakubwa tz na nyingine anayo ya wauza pembe za ndovu, tena akasema naidadi yao kabisa sijui 35. Hivi inadhani alikuwa mwehu kuwaacha waendelee kutamba mtaani na asiagize washughulikiwe? Kwani alikuwa mwehu kuwaambia waliokwapua pesa EPA warudishe pesa hizo kimya kimya? Unaweza kumtofautisha vipi JK wakati anaingia Ikulu 2005 na Magufuli wa sasa? Watanzania nadhani walikuwa na 80+ imani na JK wakati anatinga ikulu. Tatizo mkuu ni system ya ccm ya sasa, system hii hii ndio ilimtoa machozi mwl, kwenye kikao alivokuwa na kawawa. My point is .... Magufuli is another JK of 2005!!
 
Mkuu...namuona Magufuli ni mtu mwenye bahati na upendo wa Mungu.hajaipata nafasi hii kwa kushawishi au kutumia mlungula.
Hana deni na wafanyabiashara kama Kampuni ya DUMA(WANAARUSHA WATANIELEWA)

Hakuwa chaguo la anayeondoka!

Walijitahidi kumdhoofisha lakini kila wizara aliyoenda alionekana na kusikika!

He is a silent killer!
 
Daata

Daata

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2012
Messages
4,486
Points
2,000
Daata

Daata

JF-Expert Member
Joined Dec 24, 2012
4,486 2,000
Tutaona na kushuhudia mengi mwaka huu.
 
ngoshombasa

ngoshombasa

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Messages
435
Points
225
ngoshombasa

ngoshombasa

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2008
435 225
Mkuu...namuona Magufuli ni mtu mwenye bahati na upendo wa Mungu.hajaipata nafasi hii kwa kushawishi au kutumia mlungula.
Hana deni na wafanyabiashara kama Kampuni ya DUMA(WANAARUSHA WATANIELEWA)

Hakuwa chaguo la anayeondoka!

Walijitahidi kumdhoofisha lakini kila wizara aliyoenda alionekana na kusikika!

He is a silent killer!
Nakubaliana nawewe 100% he is a silent killer. Lakini taasisi ya uraisi nikitu kingine. Uko pale ofisini naunahitaji mawaziri wako wafanye kazi almost kwa 150% zaidi yako. Nani ataiweza kasi yake? Simuoni ndani ya ccm, Chenge? au Kinana? JK anaondoka akiwa ameshasimika safu yake iliyokua in support mambo yake from usalama tu gvt employees, Raisi anatakiwa awe na support ya chama, kama raisi atakuwa namsimamo huu kinzani nawanachama wake ..nini kitatokea? Atajikuta anafukuza mawaziri kila kukicha, au anaagiza walio mabondeni wote wawekwe ndani, maana hamna waziri atakayeenda nakasi yake. Mwisho wasiku chama kitamshinda. Au kitapasuka kabisa.
Nikuulize swali:
1. Atashiriki kupitisha katiba pendekezwa? au ataagiza mchakato uanzie draft ya warioba? Maana makamu wake ni muumimi wa katiba pendekezwa.
2. Je unahisi atafanya nn juu yamikataba ya ajabu Tz imesaini nasheria za ajabu zilizopitishwa na bunge? atakuwa na jipya?
3. Hayo yote niliyoyataja hapo juu yana baraka za ccm na Magufuli ameshasema publicly kuwa ataitekeleza Ilani ya uchaguzi ya ccm kwa 100%. Kuna jipya hapoo?
 
Dumbuya

Dumbuya

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2014
Messages
532
Points
1,000
Dumbuya

Dumbuya

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2014
532 1,000
Huyu jamaa kapitishwa na ccm bila kuwa na makundi.

Huyu jamaa yuko serious na anamaanisha ndio maana makapi wanahaha huku na huko kuhakikisha hapiti.

lakini ni mpango wa Mungu ndio unaotaka apewe rungu la kupambana na mafisadi na vibaka ambao wanajidanganya kwa kuhamia chadema.

Tusubiri kampeni zianze tusikie kuhusu hukumu ya mafisadi na vibaka!

Magufuli ni silent killer against vibaka ndani na nje ya ccm!
Kwa jina lako tu unahitaji kujipima vizuri..Hukumu gani ya mafisadi wakati anazunguka kuwasifia na kuwashukuru??
Mafisadi atawashughulikia vipi wakati ndo kwanza anaahidi kuwasimamia na kuwatumikia..wamtume???
Mpango wa Mungu unatoka mfukoni mwa mwenyekiti??
Au unamaanisha ni mwenyekiti??
Mtakoma lini kumuabudu mwenyekiti??
Aaaargh badilikeni bwana,nchi siyo yenu.
 
jingalao

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Messages
29,697
Points
2,000
jingalao

jingalao

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2011
29,697 2,000
Kwa jina lako tu unahitaji kujipima vizuri..Hukumu gani ya mafisadi wakati anazunguka kuwasifia na kuwashukuru??
Mafisadi atawashughulikia vipi wakati ndo kwanza anaahidi kuwasimamia na kuwatumikia..wamtume???
Mpango wa Mungu unatoka mfukoni mwa mwenyekiti??
Au unamaanisha ni mwenyekiti??
Mtakoma lini kumuabudu mwenyekiti??
Aaaargh badilikeni bwana,nchi siyo yenu.
Mafisadi ninaowazungumzia ni wale wanaomkimbia sasa.hawa ndio walikuwa wanaoitafuna ccm na nchi kwa ujumla hata UKAWA waliwapigia kelele
 
Dumbuya

Dumbuya

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2014
Messages
532
Points
1,000
Dumbuya

Dumbuya

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2014
532 1,000
Mafisadi ninaowazungumzia ni wale wanaomkimbia sasa.hawa ndio walikuwa wanaoitafuna ccm na nchi kwa ujumla hata UKAWA waliwapigia kelele
Mafisadi wanamkimbia au kumkombatia??
Wengi wa mafisadi hawa wapo nyuma ya pazia la CCM mbona.
Na ana ahidi kuwatumikia wakimtuma.
Mbona haliongelei hili yeye mwenyewe??Magufuli haongelei kabisa hili suala la ufisadi au halioni??kama analiona kwa mini haongelei??anamuogopa nani??
Hapa kuna ukinzani wa fikra kwake naona..inawezekana anadhamira lakini hana uwezo,katolewa mfukoni na inabidi atulie kwenye huo mfuko.Hana ujanja.
 
DiasporaJay

DiasporaJay

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Messages
14,751
Points
2,000
DiasporaJay

DiasporaJay

JF-Expert Member
Joined Aug 27, 2016
14,751 2,000
Mafisadi wanamkimbia au kumkombatia??
Wengi wa mafisadi hawa wapo nyuma ya pazia la CCM mbona.
Na ana ahidi kuwatumikia wakimtuma.
Mbona haliongelei hili yeye mwenyewe??Magufuli haongelei kabisa hili suala la ufisadi au halioni??kama analiona kwa mini haongelei??anamuogopa nani??
Hapa kuna ukinzani wa fikra kwake naona..inawezekana anadhamira lakini hana uwezo,katolewa mfukoni na inabidi atulie kwenye huo mfuko.Hana ujanja.
Yeye mwenyewe fisadi papa.
 
Forum statistics

Threads 1,326,424
Members 509,499
Posts 32,221,559
Top