I was about to say the same.Ningekuuliza swali lakini ngoja niache tu....
Tunachakachua thread ya watu bila sababu ya msingi....
Tuendelee kujadili kilichopo mezani haya mengine tukutane kwenye thread husika.....
Yaani hii nchi ni kama imeshauzwa yote tu.....Jamaa asipotuliza kichwa, atayumbisha zaidi huu uchumi wa mabox,
Symbion walitangaza $700m kama investment kwenye umeme wa gas kuanzia sept 2016,
Habari za kusimamisha mikataba zimemshinda Eva Morales wa Bolivia, licha ya moto alioanza nao.Yaani hii nchi ni kama imeshauzwa yote tu.....
Kwa taratibu za utandaji, waziri ndie mdomo wa rais kwenye sekta inayohusika. Ndie anazungumza aliloamua rais na baraza lake kuhusu sekta hiyo. Tofauti kidogo tu lazima waziri aondoke. Nyerere alitofautiana na Mtei kwenye suala la IMF wakati, ingawa walitofautiana kwa siri ilibidi Mtei aondoke. Ndivyo serikali inavyoendeshwa kinyume chake ni vurugu tu.Hayo ni Maelekezo Rasmi ya Rais kuanzia hapo ndio tumhukumu Prof. MUHONGO.
Kwa tunaomjua Magu hatushangai hata kidogo!! Ni mpenda sifa mno na mwongeaji asiye na kina!!Mkuu uko sahihi kabisa
nime avoid kum attack ili tuweze kujadili bila wale 46
kuja kuharibu thread...
Ndo maana nimesema anaongoza kwa style ya kuwafanya mawaziri wake
wawe wana guess misimamo yake
ni kama hawapi clear visions na maagizo ya nini anataka na wapi wapite
jamaa alitakiwa awe na idara 2 muhimu pale ofisini kwake otherwise atachanganyikiwaUlikuwa unatarajia kipya kutoka kwenye hii serikali mkuu?
Habari za kusimamisha mikataba zimemshinda Eva Morales wa Bolivia, licha ya moto alioanza nao.
Anacheza tu huyu.
Kwani watalamu wa umeme lazi a izalishe tanesco yenyewe mbona vyuo vingi tu we vipi bana.
Kuanza tu kufikiria kuwa kuna kipya ambachop hii serikali inaweza kuleta ni kama kusubiri meli airport.......jamaa alitakiwa awe na idara 2 muhimu pale ofisini kwake otherwise atachanganyikiwa
Ana nia nzuri tatizo 'How'
1) team ya uchumi na maendeleo hapo wawe na malengo selective yenye multi effect kwenye uchumi
2)Since anapenda majipu basi kuwe na serious team inasimamia show zote, yeye anapata update daily
Labda kwenye bunge la budget wataleta ule mpango wao wa maendeleo
Tatizo uwezo wa kufikiria mkuuKibaya zaidi, wananchi wengi tu wanashangilia.
Kwa taratibu za utandaji, waziri ndie mdomo wa rais kwenye sekta inayohusika. Ndie anazungumza aliloamua rais na baraza lake kuhusu sekta hiyo. Tofauti kidogo tu lazima waziri aondoke. Nyerere alitofautiana na Mtei kwenye suala la IMF wakati, ingawa walitofautiana kwa siri ilibidi Mtei aondoke. Ndivyo serikali inavyoendeshwa kinyume chake ni vurugu tu.
leo ni mara kama ya tatu naandika humu kwamba uteuzi wa Muhongo ni balaa zaidi kuliko neema kwa taifa.The Boss
Si hilo tu, leo kamsakama Zitto kwanini anaongelea IPTL tu. Rais anasema asaidiwe ili atumbue majipu. Anachosema Zitto ndio usaidizi, waziri anasema hapana(confsusion)
Tena anasema kuna madudu mengine mbona hayasemwi. Huyu ni waziri anategemea madudu yasemwe wakati anaingia vikao vya baraza la mawaziri na ana dhamana na wizara
Ni huyu huyu, wakati waziri mkuu anaenda kuangalia madudu ya mita za mafuta yeye anatuma text zifunguliwe haraka(confusion)
Nadhani atampa Rais wakati mgumu sana, ni bora 'wangemwahi' mapema
jamaa alitakiwa awe na idara 2 muhimu pale ofisini kwake otherwise atachanganyikiwa
Ana nia nzuri tatizo 'How'
1) team ya uchumi na maendeleo hapo wawe na malengo selective yenye multi effect kwenye uchumi
2)Since anapenda majipu basi kuwe na serious team inasimamia show zote, yeye anapata update daily
Labda kwenye bunge la budget wataleta ule mpango wao wa maendeleo
Watanzania ni binadamu wa ajabu sana,yaani tunadhani kuwa mtu akisema tayari kimeshafanyika tayari....Kwa tunaomjua Magu hatushangai hata kidogo!! Ni mpenda sifa mno na mwongeaji asiye na kina!!
Kwa upeo wake hana namna ya kuwakwepa akina Muhongo!!
Kama unasema tu "zalisheni wenyewe" then camera ikigeukia upande mwingine unashika mengine hakuna tija!!
TANESCO imepambana miaka nenda rudi kuzalisha umeme yenyewe imeshindwa pamoja na mipango lukuki... Ni wakati sasa waseme walishindwa wapi na Rais awape njia wafanikiwe vipi....
Kwa watu aina ya Muhongo ni arrogant sana! Sidhani kama na huyo bwana watawezana....
Muda ni mwamuzi wa yote ngoja tusubiri tusijeambiwa tena kama wale kuwa "miaka 5 ya awali nilikua najifunza urais" nipeni mingine niutumie ujuzi wa kwanza!!!!
Ningemshauri Magufuli angekaa kimya kwanza apate twisheni ya urais baadae akiwiva ndo aanze hizo mambo zake...
Magufuli ameishushia hadhi sana nafasi ya urais kwa kauli zake kurupushi!!!
Nashangaa wanaomwita Nyerere ni wakweli kwake au wanataka vyeo?
Na aliyemteua vipi?leo ni mara kama ya tatu naandika humu kwamba uteuzi wa Muhongo ni balaa zaidi kuliko neema kwa taifa.
Muhongo bado anamawazo na mikakati ya serikali ya awamu ya nne. Atupishe, maana ameshidwa kuambatana na kasi ya Magu.Tatizo ni maono
Ninanfahamu fika Magufuli... Sijawahi tegemea jipya toka kwake... Mzee wa hisia na jazba si MTU wa uhalisia zaidi sana ni MTU too manual... Aina ya Nyapara sikuwahi ona "uongozi" alionao Magufuli.Ulikuwa unatarajia kipya kutoka kwenye hii serikali mkuu?
Hahahah hivi zile nakasha zetu zinaendelea tu? Nimezimis ntakuja....Ningekuuliza swali lakini ngoja niache tu....
Tunachakachua thread ya watu bila sababu ya msingi....
Tuendelee kujadili kilichopo mezani haya mengine tukutane kwenye thread husika.....