Magufuli na Msondo, wapi na wapi

jIONEE TOFAUTI AU YEYE NDIYE MMILIKI WA HIYO BENDI?
 
Mzee wa Magumashi, atajenga reli toka Dar mpaka Zanzibar.
 
Hilo si ndio daraja aliloahidi na kupata kura Igunga na ndio ushahidi wa kutolewa kwa Dr Kafumu na Dr Pombe akiwa ndio mharibifu wa kwanza kupelekea kupoteza jimbo?kwa ahadi zake?
 
Ona tofauti kubwa iliyopo kati ya Afya ya Mpiga tumba wa kukodiwa na Mpiga gitaa... Halafu kuna Mama wa Gamba(Sijui ndo yule aliyefumaniwa na Madelu) anacheka kiudaku Aaaaggggghhh!!!
 
Wanasiasa bhana...wanapenda sana kujionesha ni watu wa watu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…