Magufuli na CCM yako Must Go

Una mawazo ya mfupa mbwa anayefuga mbwa kwa kutegemea makombo ya jirani. Pole sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
He must perish
 
Unaongea kama umenyewa mdomoni. Kwa damu hizi, CCM haina hata miaka 10 ya kutawala hapa!!!
 
Uzi unaishi, jiwe nchi imemshinda si aende kwao alikotokea Akiwa kabebwa mgongoni .
 
Tanzania sio mama yako
Mlisha mkana mara tatu
Mama Tanzania amesha walaani nyote mpaka kizazi cha nne
Too late
You’re doomed for failure in all eternity


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sheria za mitandao na uchochezi zisitumike kuwafumba midomo vijana ambao ni taifa la leo Na kesho. Kwani hizi sheria zilitungwa ili kuwanyamazisha watanzania wa leo na kesho! I think it's a wrong perception!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hupo nchi gani my find. Auoni... Tusubiri 2025. Wezenu walishahanzi kampeni tangu 2017 Kwa ajili ya 2020. Vituo vya TV na Radio vyote Ni vya CCM. Kaeni kimya hivyo hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubaguzi kwa misngi ya kanda na ukabila?
 
Uliyooorodhesha yote ni very shaky.La msingi ni kwamba mmezoea ustaarabu wa kuiba,kutumia vyeti fake,madili nk.Sawa bwana.
 
Mkuu mleta uzi andika maumivu. Huyu ni mpaka 2025 panapo uhai.
 
Uliyooorodhesha yote ni very shaky.La msingi ni kwamba mmezoea ustaarabu wa kuiba,kutumia vyeti fake,madili nk.Sawa bwana.
Ni kweli kabisa kaorodhesha vitu vyepesi sana. Walizoea maisha ya udalali ya ubwete, wiki nzima wanashinda kijiweni na simu mkononi, ikifika ijumaa jioni wanaingia bar kwa maringo wakitembea kwa kunesanesa.
 
Tatizo wabunge wa ccm hawaoni wala kusikia shida wanazozipata walio wapa ubunge

get well soon tl
 
Ni kweli kabisa kaorodhesha vitu vyepesi sana. Walizoea maisha ya udalali ya ubwete, wiki nzima wanashinda kijiweni na simu mkononi, ikifika ijumaa jioni wanaingia bar kwa maringo wakitembea kwa kunesanesa.
Arobaini zao zimefika,hakuna lisilo na mwisho.
Heshima imeshaanza kurudi,na bado.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…