Ikitotanzira
Member
- Feb 12, 2019
- 24
- 151
John Pombe Magufuli ni rais mzuri lakini mwenye mapungufu makubwa ya wazi wazi, uzuri ukizidiwa na mapungufu hufuta mazuri.
Very true lakini mapungufu ndio yanayotufanya tuwe Binadamu, I hate one thing, watu wanaoitwa wasaidizi wake, aiseeeee hakuna wanafiki wakubwa Kama hawa jamaa!John Pombe Magufuli ni rais mzuri lakini mwenye mapungufu makubwa ya wazi wazi, uzuri ukizidiwa na mapungufu hufuta mazuri.
Kuna haja ya kumwombea tena sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulisema bora uombee nini???[emoji23][emoji23]wao ndo Wa kwanza kutuambia tuwaombee.
BORA NIOMBEE JIWE.
Ukweli ni kwamba;Very true lakini mapungufu ndio yanayotufanya tuwe Binadamu, I hate one thing, watu wanaoitwa wasaidizi wake, aiseeeee hakuna wanafiki wakubwa Kama hawa jamaa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Utamsaidiaje mtu anayeamini yeye anajua kila kitu. Acha wasaidizi wapige hivyo hivyo.Ukweli ni kwamba;
1. Wasaidizi wa rais wanajua udhaifu wake
na wanautumia udhaifu huo kunufaika
2. Lengo la wasaidizi sio kumsaidia bali
wanufaika ilhali wanamvua nguo aonek
ane hafai kwa jamii na hawajali hilo
3. wanafahamu vyema mzee anapenda
sifa na wao wameamua kumsifu kwa
kila kitu hata kama kakosea
Rais huyu sio mbaya kivile, lakini hana wakumsaidia katika mapungufu yake;
Kwanza hapendi kukosolewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipindi cha neema kwa akina Makonda company, ni majira yao kukaa kileleni kwa malipo ya sifaUtamsaidiaje mtu anayeamini yeye anajua kila kitu. Acha wasaidizi wapige hivyo hivyo.
Shida ya kunywa ulanzi uliochacha ndio hizi,wewe ndugu sijui uko sayari gani au sababu ya hivyo visimu smartphone basi inabidi tu uandike uharo wako hapa,peleka stress zako kwenye SACCOS yenu,kwanza wewe ni nani nchi hii,hilo ni dua la kuku,CCM na serikali yake tuna miaka 100 mingine ya kuwanyosha watu kama nyie,lazima mufanye kazi,mambo ya kuamuka asubuhi kwenda bandarini una elfu moja na unarudi na milioni 10 bila kufanya kazi yoyote ,kwa sasa sahau.Mtachanganyikiwa sana.Magufuli na CCM yako ondokeni Nchi imewashinda mnatuharibia Mama yetu Tanzania
Magufuli uongozi umekushinda tangu uingie madarakani hakuna ulichofanikisha zaidi ni haya:-
[emoji117] kuleta nidhamu ya woga kwa watumishi wa umma
[emoji117] kuporomosha uchumi wa Nchi
[emoji117] Watu kupigwa risasi,kutekwa na kuuliwa
[emoji117] kuzuia ajira
[emoji117] Kuminya Uhuru wa kutoa maoni na kunyanyasa vyama vya upinzani
[emoji117] Kununua viongozi wa upinzani
[emoji117] kutuma police wauwe watu
[emoji117] Kununua ndege mbovu na nyingine kukamatwa
[emoji117] kupandisha makato ya bodi ya
Mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu kutoka 8% mpaka 15%
[emoji117] Kuzuia makinikia then wazungu kutupiga changa la macho kwenye kishika uchumba cha USD 300
[emoji117] kusababisha umaskini kwa Nchi zaidi ya miaka 50 chini ya CCM yako
Magufuli ondoka sio lazima uendelee kuwa rais usituharibie Nchi yetu tumezoea ustaarabu.
Kabla ya kuandika kwenye mtandao na kuweka tuhuma dhidi ya Raisi na Chama tawala hasa katika awamu hii inakubidi uwaze mara mbili.Magufuli na CCM yako ondokeni Nchi imewashinda mnatuharibia Mama yetu Tanzania