Magufuli,mwakyembe na hii barabara................. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magufuli,mwakyembe na hii barabara.................

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by The Boss, Sep 8, 2011.

 1. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  kwa tunaotumia barabara ya ali hassan mwinyi daily hapa dar

  tunafurahi kuona upanuzi umeanza wa barabara hiyo......lakini

  kwa kuwa upanuzi unafanywa kuanzia mwenge kwenda tegeta tatizo la foleni

  halitakwisha kwa sababu ya kipande cha morroco mpaka mwenge kuachwa kama kilivyo.....

  sijui kimeachwa moja kwa moja au kuna mpango baadae lakini kwa vyovyote vile

  kipande hiki ndo kinachosababisha foleni kubwa zaidi barabara hiyo....

  kwa nini kimeachwa?

  au kwa kuwa kuna watu na taasisi zimejenga ndani ya hifadhi ya barabara???????

  binafsi naona ni bora waliojenga ndani ya barabara wavunjiwe bila kujali ni LAPF
  au ni nani........vinginevyo kupanua barabara kutokea mwenge hakutakuwa na impact kubwa
  hasa kwa kuwa barabara hiyo kutoka city center mpaka moroco ni double road tayari..
  kupanua kuanzia mwenge haitasaidia,wavunje na kupanua kuanzia moroco ili barabara yote
  iwe imekamilika.........................
   
 2. Mwenzetu

  Mwenzetu JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 500
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Nakubaliana nawe,lakini tatizo ni kwamba gharama ya fidia kwa majengo na mali nyingine kando ya barabara na maeneo husika ni kubwa kuliko hata gharama ya ujenzi wa barabara yenyewe........na hii ndiyo sababu ya msingi ya kushindwa kwa upanuzi wa barabara hiyo...............

  ..........na hapa tujifunze kuwa serikali kwa kupitia mamlaka husika yaani wakala wa barabara TANROADS na manispaa,wizara ya ardhi,mipango miji zinahitaji kufanya kazi kwa pamoja na kwa wakati wote,kwani kama wamiliki wa maeneo husika wasinge kuwa wamemilikishwa kihalali viwanja kwenye maeneo husika basi ingekuwa sahihi na rahisi sana kuvunja majengo yaliyojengwa kando ya barabara hiyo....................
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  gharama ipi wakati ni eneo la barabara?
   
 4. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #4
  Sep 8, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Serikali ya CCM bana... inaachia watu wafyatue matofali na kujijengea mihekalu ikijua fika kuwa wako ndani ya hifadhi za barabara... miaka 3 mbele inaanza kuhaha kutafuta fidia za kupanulia mabarabara hayohayo!!
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Sep 8, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  hili halihitaji fidia ni uamuzi tu
   
 6. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #6
  Sep 8, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Kama walijulishwa basi hakuna cha fidia hapo!! But knowing watendaji kwenye taasisi husika nchini petu, sidhani kama kuna watu walijulishwa mipaka ya mabarabara!
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Sep 8, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  mkuu kwa barabara hii kila kitu kipo wazi
  tena advantage ni kuwa kuna nyumba za nhc kulia na kushoto
  zilizojengwa bila kuingilia hifadhi ya barabara
  hata kijiji cha makumbusho kiko safi....
  tatizo ni millenium tower ya LAPF na wengine

  magufuli akiamua,wanavunjiwa wote....sijui tatizo lipo wapi?
   
 8. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #8
  Sep 8, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Kama tumegeuka China ghafla, yeah, hilo halina shida! Ila kama tunapenda kuwa bound na treaties za ajabuajabu kama ilivyo jitokeza kwenye sanga la Dowans, then someone's azz wud be sued!! Speaking of which, Magufuli is well too aware of that following the saga in Mwanza about a petrol st.
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Sep 8, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  kama magufuli angekuwepo mwanzoni JICA waliposema
  watafadhili upaanuzi,nahisi
  wangeanzia moroco bila tatizo

  sasa hiko kipande mpaka kipate mfadhili ni shughuli
  na wavamizi wanaendelea
   
Loading...