Adolf Mark
Member
- Nov 4, 2011
- 50
- 26
Rais Magufuli tunaomba mulika TAZARA Mbeya, ni ubabaishaji mtupu, ukitaka kukata tiketi ya kesho wanakataa, ukiuliza sababu hawana, na hakuna muda rasmi wa kukata tiketi, kwa mfano jumamosi wanatakiwa kuanza kukata tiketi saa nne kamili asubuhi lakini mpaka muda bado hawajafika watu wanazidi kuongezeka na hakuna hata mmoja aliyekatiwa tiketi.