Magufuli mapato yanapotea huku TRA wamelala

Magufuli mapato yanapotea huku TRA wamelala

Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mishahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.
Maisha ni zaidi ya mshahara na uzalendo ni zaidi ya pesa. Hujuma za watumishi wa serikali huwaathiri wananchi sio serikali. Mfano: daktari akakupasua kichwa badala ya tumbo, mhanga sio serikali. Usitumie Uhuru wa mawazo vibaya, kuwa mzalendo kwa taifa lako
 
Hapo unawachongea tra au!? Kwanza ni ngumu sana hapo kuchukua kodi maana wakisema sisi tunaburudika tu utafanya nini
 
Mtakusanya kila kona na kwa uroho huu uliozidi kiwango, hamtaweza kutosheka!
 
Stella ile revenue inayopotea Sinza mapambano, Meeda, Kimboka Buguruni, Kinondoni na Mwananyamala umeisahau.
Machangu na ma baarmeidi wangetoa risiti za EFD TZ ingekua mbali. Just imagine goli moja 20,000. VAT yake ni 3,600 hiyo ni kwa dakika tano. Piga Mara sita kwa siku mara machangu wote Tz. 3 600 x 5 x 900,000 = 16,200,000,000 hii ni kwa siku moja. Piga kwa mwaka uone malaya wanavyoiibis serikali. Hapo nishaondoa wale walioko kwenye siku zao.
 
Back
Top Bottom