Magufuli: M4C = Magufuli 4 Change

kula kwa tindo

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
1,330
323
Mgombea Urais kwa ticket ya CCM, leo akihutubia ktk mkutano huko Kigoma, amewaambia maana ya M4C ni Magufuli 4 Change.. Magamba mnalo mwaka huu..
 
Acheni ulofa na upumbafu.... Kuanzia liniChanzo Cha Matatizo wakaazisha mabadiriko????!!!

Umeongea vizuri sana, maana chanzo cha matatizo ya nchi hii ni CCM ndio maana sisi tunataka mabadiliko ambayo tunayapata UKAWA. Nashukuru mungu gamba moja lishaanza elewa nani ni chanzo cha matatizo!!!

Malofa tushafanya maamuzi yetu, subirini muone ubora wetu oct 25.
 
Nyie mnaona hapo kateleza sio??Hapo pako vizuri sana.Wataalam wanakuambia usizififishe nguvu za adaui yako!!
 
Cku nyingi niliwaambia, pombe anatamani kuwa UKAWA, mkabeza ona sasa, anaona aibu kusema ccm oyeee! au kidumu ccm.dah lowasa uraisi njenje
 
kila siku nawaeleza dr ndiye rais msije sema wameiba kula!!!!!!cheki kigoma!!maguful anajua anachofanya!!!!maguful 4 change!!!!!to be honest dr is my president no one can change the result and votes for magufuli
 
tatizo la kukariri nadhan hyu pombe alifaulu kwa chabo ndo maana anashndwa ht kujua km gaddaf ndo rais wa libya,hyu akiambiwa ajitambulishe hukawii kuckia naitwa edward ngoyai lowassa,peopleeeeeeez..
.......
 
Back
Top Bottom